fundiaminy
JF-Expert Member
- Jun 4, 2009
- 354
- 52
ahahahah interesting, utakayempata wa kwanza mtie tracking device mahala fulani...this way utamspot from a distance hata wawe wanafanana kama punda!!!! lol[/QUOTE
Weka alama shingoni (mbele). Hapo itakuwa cool!!
Aisee wewe bado hujampenda mtoto! Sema ukweli! Mtu ambaye umempenda na kumzimia akakuingia mpaka mifupani huwezi kushindwa kumtofautisha na pacha wake mpaka utuulize hapa JF mbinu zakufanya? Mi sikuelewi. Mbona njia ni nyingi tu?? Sauti, tabasamu, tembea, haiba, macho, nk. Hata kama watakuwa wanafanana namna gani baada ya kitambo utaweza kuwatofautisha. Pole sana mzee. Ila kwanza mpende sawasawa na mfunge ndoa. Siyo sawa kufaidi bila kuwa na wajibu.Abdul naona umenipata kimakosa.nimesema kanikubalia urafiki.na ndio unavyosema mkuu reo ni kweli mi ndio nawajua lakini hata wewe hujawahi ona mapacha waliofanana kiasi cha mama yao tu ndio anaweza watambua?ndio nikauliza pengine kuna yeyote ana njia ya kutofautisha viumbe aina hiyo anijuze.
Sioni mbaya kama wamependa wenyewe wachapwe bakora moja na jamaa...kwanza siutakuwa unapata taste tofauti au na test zitafanana! lol.
Njia nzuri kila mmoja mpe jina lake tofauti na mwenzie,yaani Jane waweza kumwita A na mtaarifu kua wewe wamwita A,then wapili mpe labda Ashura.Sasa ukitaka kujua yupi ni yupi kila unapokutana nao jaribisha majina hayo kwa kila mmoja hapo utakua unamjua yupi ni yupi.Akija jane mwambie mambo A?Akigoma itika ujue huyo ni June then vice versa to June
kuna madada wawili mapacha mtaa ninaoishi.ni wageni na wamehamia yapata mwezi mmoja.nitawaita jane na june.nilimuuzia sera zangu jane na akanikubalia 2we wapenzi.lakini kila nnapokuwa nae huhisi kuwa pengine ni june na hujaribu sana katika maongezi nidadisi kama sio shere ninachezewa bali nimeshindwa.hivi kuna njia naweza watofautisha kweli?
Kukata issue wape password tofauti😕