Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,324
- 17,846
Sioni mbaya kama wamependa wenyewe wachapwe bakora moja na jamaa...kwanza siutakuwa unapata taste tofauti au na test zitafanana! lol.
we mutoto ya mujini!...unafahamu kanisa la kakobe lilipo?😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sioni mbaya kama wamependa wenyewe wachapwe bakora moja na jamaa...kwanza siutakuwa unapata taste tofauti au na test zitafanana! lol.
we mutoto ya mujini!...unafahamu kanisa la kakobe lilipo?😀
Duh mzee unaweza ukanichawa kwa Sadala na mie nipate angalau mmoja alama zipo usoni wewe angalia vizuri nyuso zao lazima kutakuwa na kaalama.
Ingawaje hainihusu ila nimecheka kwa nguvu peke yangu lol. Kaizer hata wewe hujatulia duh. I like your thinking man!
. before doing that let me go back to kamusi ili nijue kama maana ya utulivu imebadilika tofauti ya ile ninayoijua mie.lolLOL asante, uliza Wanajamii wote hapa hakuna mtu mtulivu kama mimi lol.....
ukimtia mmojawapo mkononi mweke alama sehemu.....
. before doing that let me go back to kamusi ili nijue kama maana ya utulivu imebadilika tofauti ya ile ninayoijua mie.lol
BTT.
Atumie njia gani kuwatofautisha hawa wawili? Maana inawezekana wote wanamtaka so patakuwa hapatoshi hapo!
Ah Fidel kwa mizoga!! Utakula mpaka visivyoliwa ah!!