Je?hawa mapacha wananichezea shere ama vp?

Je?hawa mapacha wananichezea shere ama vp?

Sioni mbaya kama wamependa wenyewe wachapwe bakora moja na jamaa...kwanza siutakuwa unapata taste tofauti au na test zitafanana! lol.

we mutoto ya mujini!...unafahamu kanisa la kakobe lilipo?😀
 
Duh mzee unaweza ukanichawa kwa Sadala na mie nipate angalau mmoja alama zipo usoni wewe angalia vizuri nyuso zao lazima kutakuwa na kaalama.
 
huwa wanatofauti kwenye vidole aidha vya mikono au miguu kuna alama tu utaiona jaribu kuchunguza kwa umakini mi nina kama wewe lakini nawajua kwa sauti na vialama fulani hivi maeneo ya mikono na miguu,umiza kichwa utang'amua tu.
 
Duh mzee unaweza ukanichawa kwa Sadala na mie nipate angalau mmoja alama zipo usoni wewe angalia vizuri nyuso zao lazima kutakuwa na kaalama.

Ah Fidel kwa mizoga!! Utakula mpaka visivyoliwa ah!!
 
Ingawaje hainihusu ila nimecheka kwa nguvu peke yangu lol. Kaizer hata wewe hujatulia duh. I like your thinking man!

LOL asante, uliza Wanajamii wote hapa hakuna mtu mtulivu kama mimi lol.....
 
LOL asante, uliza Wanajamii wote hapa hakuna mtu mtulivu kama mimi lol.....
. before doing that let me go back to kamusi ili nijue kama maana ya utulivu imebadilika tofauti ya ile ninayoijua mie.lol

BTT.

Atumie njia gani kuwatofautisha hawa wawili? Maana inawezekana wote wanamtaka so patakuwa hapatoshi hapo!
 
ukimtia mmojawapo mkononi mweke alama sehemu.....

. before doing that let me go back to kamusi ili nijue kama maana ya utulivu imebadilika tofauti ya ile ninayoijua mie.lol

BTT.

Atumie njia gani kuwatofautisha hawa wawili? Maana inawezekana wote wanamtaka so patakuwa hapatoshi hapo!

mi wala sijabadili msimamo...lol🙂
 
Back
Top Bottom