Asante kwa ufafanuzi mzuri, kumbe shida unaweza ikwa ni upatikanaji wake tu,Hivi GS ukiwaacha huru na watoto wanakua salama kweli?Wanapatikana ndio lakini kwa ugumu kidogo na wengine mpaka ukafwate Kenya. GSD amekuwa na mapokeo makubwa kwa wafuga Mbwa na kwakuwa huwa anatumika hata kwenye majeshi yetu, lakini kuna ambao hata umewataja hapo nao ni wazuri sana na kuna baadhi ya vitu wana mpita GSD.
GSD amekuwa na mapokeo makubwa tu kwa wafugaji kuliko kuangalia aina ya Mbwa na malengo ya kuwafugia.
Hawana shida kabisa ni marafiki sana na wanadamu, lakini pia huwa inategemeana na wewe mfugaji utakavyo muhifadhi na kumtunza Mbwa wako, mfano watu wengi wanazania Mbwa akiwa anabweka sana akiwa bandani ni ukali kumbe hapana nao huwa wanapata stress za kufungiwa mno, kwahiyo ni njia gani utazitumia kumtoa ktk hali hiyo itakutegemea wewe mfugaji kwa jisni utakavyo mfuga na kumwongoza. Kanuni kuu ya Mbwa ni kumtii kiongozi wake.Asante kwa ufafanuzi mzuri, kumbe shida unaweza ikwa ni upatikanaji wake tu,Hivi GS ukiwaacha huru na watoto wanakua salama kweli?
Ngoja nitafute nimuone, Nadhani pia Watanzania wanafunga Mbwa bila malengo ndio maana mtu anafunga Mbwa badae wanashambulia familia yake au yeye mwenyewe, wakati unaweza kufuga mbwa ambae yupo friendly lakini anakua alert dog kwamba anaweza kukustua kama kuna wezi au watu wasiofahamikaKwa mfano kuna huyu Mbwa anaitwa st bernard ni mzuri sana kwa uelewa wake lakini umbo lake ni likubwa na halina mvuto kama GSD , na niwachache sana hapa nchini kwakuwa wengi wamempokea zaidi GSD, tena wana penda GSD awe Show line hawapendi walking line, wakati ukiwachunguza wana utendaji tofauti kutokana na maumbile yao.
😀😀Asante hapo nimekupataHawana shida kabisa ni marafiki sana na wanadamu, lakini pia huwa inategemeana na wewe mfugaji utakavyo muhifadhi na kumtunza Mbwa wako, mfano watu wengi wanazania Mbwa akiwa anabweka sana akiwa bandani ni ukali kumbe hapana nao huwa wanapata stress za kufungiwa mno, kwahiyo ni njia gani utazitumia kumtoa ktk hali hiyo itakutegemea wewe mfugaji kwa jisni utakavyo mfuga na kumwongoza. Kanuni kuu ya Mbwa ni kumtii kiongozi wake.
Watanzania wengi wafuga mbwa huwa ni wapuuzi sana, unakuta Mbwa anafungiwa bandani siku mzima au yuko na mnyororo/kamba shingoni anafungiwa mahali kila siku mchana wote halafu anafunguliwa usiku tu.Hawana shida kabisa ni marafiki sana na wanadamu, lakini pia huwa inategemeana na wewe mfugaji utakavyo muhifadhi na kumtunza Mbwa wako, mfano watu wengi wanazania Mbwa akiwa anabweka sana akiwa bandani ni ukali kumbe hapana nao huwa wanapata stress za kufungiwa mno, kwahiyo ni njia gani utazitumia kumtoa ktk hali hiyo itakutegemea wewe mfugaji kwa jisni utakavyo mfuga na kumwongoza. Kanuni kuu ya Mbwa ni kumtii kiongozi wake.
Karibu sana nitakusaidi hitaji lako juu ya ufugaji wa Mbwa, upatikanaji wa mbegu bora,wakufunzi wa mbwa, vet bora wa Mbwa na vyakula na vifaa vya Mbwa.Ngoja nitafute nimuone, Nadhani pia Watanzania wanafunga Mbwa bila malengo ndio maana mtu anafunga Mbwa badae wanashambulia familia yake au yeye mwenyewe, wakati unaweza kufuga mbwa ambae yupo friendly lakini anakua alert dog kwamba anaweza kukustua kama kuna wezi au watu wasiofahamika
Ni kweli ulisemalo kikbwa sasa ni kueleimishana pole pole kwa hekima na busara ili wote tufikie malengo yetu na ufugaji bora na kuwa na Mbwa bora.Watanzania wengi wafuga mbuwa huwa ni wapuuzi sana, unakuta Mbwa anafungiwa bandani siku mzima au yuko na mnyororo/kamba shingoni anafungiwa mahali kila siku mchana wote halafu anafunguliwa usiku tu.
Ni kweli kabisa kanuni ya mfugo wowote unayo wewe mfugaji kwa kutokana na malengo yako ya ufugaji.Mbwa yeyote ukimfundisha anakuwa rafiki Kwa binadamu mwema na kuwa mkali Kwa mhalifu.
Namshukuru Mungu, tutasaidiana maana haya ni majaliwa yetu sote kuwa na mfugo bora.Asante mkuu,Inaonekana una uzoefu kwenye hii tasnia ya ufugaji mbwa
Ni kweli Mbwa wote ni wakali ila kila Mbwa ana miongozo yake ya jinsi ya kumfuga na kumfundisha, nasisitiza sana Mbwa ni wanyama kwahiyo wanategemeana sana na wewe unataka kumfuga vipi, hata Rottweler unaweza kumtengua akili toka mwanzo akawa zuzu au unaweza mtengeneza vibaya asisikilize hata anae mfuga, na hapo ndipo inakuja hadisi ya kuwa hawa huwa hawafai kuwa karibu na wanadamu.Sio breed zote, kuna Zingine ni hatari sana
🤣🤣, halafu akimfungilia yeye mwenyewe anakimbilia ndani, nishaona watu kibao eti anatembea na Mbwa wake barabarani na mnyororo cha kushangaza Mbwa ndio anamvuta mbele, yaani Mbwa anakula ndio leader wakati Mbwa anatakiwa akufuate wewe au muwe sambamba na ukitoa amri anakutii, ukisema simama anasimamia.Watanzania wengi wafuga mbuwa huwa ni wapuuzi sana, unakuta Mbwa anafungiwa bandani siku mzima au yuko na mnyororo/kamba shingoni anafungiwa mahali kila siku mchana wote halafu anafunguliwa usiku tu.
african basenjiView attachment 3530992
The legend..mwamba huyo hapa kila mahali yupo kwenye msiba utamkuta kwenye sherehe as well..