Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 15,126
- 35,515
- Thread starter
- #21
Tatizo sisi tu tunanunua katoto ka Mbwa ukifika nyumbani unaanza kufunguia bandani ndio imeisha hio, hakuna mafunzo yoyoteNi kweli Mbwa wote ni wakali ila kila Mbwa ana miongozo yake ya jinsi ya kumfuga na kumfundisha, nasisitiza sana Mbwa ni wanyama kwahiyo wanategemeana sana na wewe unataka kumfuga vipi, hata Rottweler unaweza kumtengua akili toka mwanzo akawa zuzu au unaweza mtengeneza vibaya asisikilize hata anae mfuga, na hapo ndipo inakuja hadisi ya kuwa hawa huwa hawafai kuwa karibu na wanadamu.