Tatizo sisi tu tunanunua katoto ka Mbwa ukifika nyumbani unaanza kufunguia bandani ndio imeisha hio, hakuna mafunzo yoyoteNi kweli Mbwa wote ni wakali ila kila Mbwa ana miongozo yake ya jinsi ya kumfuga na kumfundisha, nasisitiza sana Mbwa ni wanyama kwahiyo wanategemeana sana na wewe unataka kumfuga vipi, hata Rottweler unaweza kumtengua akili toka mwanzo akawa zuzu au unaweza mtengeneza vibaya asisikilize hata anae mfuga, na hapo ndipo inakuja hadisi ya kuwa hawa huwa hawafai kuwa karibu na wanadamu.
Huyu hana shida kabisa tatizo lake ni kupenda mitaa tu, yaani ukiamuachia anataka akazurureView attachment 3530992
The legend..mwamba huyo hapa kila mahali yupo kwenye msiba utamkuta kwenye sherehe as well..
bobi huyo ,hapo anasubiria kutupwa mabaki ya msosi msibani hapoView attachment 3530992
The legend..mwamba huyo hapa kila mahali yupo kwenye msiba utamkuta kwenye sherehe as well..
Ni kweli lakini bado nyie wafugaji pia mnaweza kuleta bidhaa mpya sokoni na kuwaelimisha watu uzuri wakeUkiwa mfugaji wa mbwa kibiashara utaelewa kwanini wafugaji hawaentertain aina nyingine za mbwa zaidi ya German Shepherd, Rottweiler, Boer Boel (and) Maltese (pia) kwa uchache Belgian Malinois na Doberman Pinscher.
BTW iko hivyo kwa sababu, an intelligent seller keep what the market demand.
Mkuu huwa tunafuga kitu unaweza kuuza in quickfire bila kujieleza sana. Ufugaji wa mbwa ni gharama sana kubet kwenye breed ambayo huna uhakika na soko lake. Ukikaa na puppy ambaye hayuko kwenye breeding program zako kwa zaidi ya miezi miwili anaanza kula faida na eventually ana end up kuwa liability kwako.Ni kweli lakini bado nyie wafugaji pia mnaweza kuleta bidhaa mpya sokoni na kuwaelimisha watu uzuri wake.
Sawa hapo nimekuelewaMkuu huwa tunafuga kitu unaweza kuuza in quickfire bila kujieleza sana. Ufugaji wa mbwa ni gharama sana kubet kwenye breed ambayo huna uhakika na soko lake. Ukikaa na puppy ambaye hayuko kwenye breeding program zako kwa zaidi ya miezi miwili anaanza kula faida na eventually ana end up kuwa liability kwako.
Ila ukikutana na mteja anahitaji vitu ka hivyo mbona sisi hatuna shida kumuagizia nje (kuimport).
Hayana shida sana.Hayana ukorofi?
😃😃 siyo kila mbwaMbwa yeyote ukimfundisha anakuwa rafiki Kwa binadamu mwema na kuwa mkali Kwa mhalifu.
😀😀 aiseHayana shida sana.
Ila kwa ulinzi wa watoto kuna haya majamaa, haya hayachekagi na wowote ikija suala la ulinzi wa watoto.
View: https://youtu.be/bJz8CfQ489o?si=QjEsmu59pjb2Intu
Kwa hapa Dar... Mikocheni nyuma ya Kairuki hospital kuna nyumba wapo...wapo wapi?
Nissan Patrol hiyo .View attachment 3530992
The legend..mwamba huyo hapa kila mahali yupo kwenye msiba utamkuta kwenye sherehe as well..na kama una njaa we mfuatilie tu huwezi kufa kizembe mjini