Tafakari yetu
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 1,505
- 4,427
😆😆😆Tanzania kuna vijana zaidi ya mil. 30, sasa wewe unaposema hawa vijana machachari tukuelewe vipi?
Hata hayo ni maendeleo pia kwani ujui mambo ya kofia uathiri maendeleo pia.Tanzania itabidi tubadilike,hoja za watu mara kofia ya uenyekiti haitusaidii,tutazame tunataka nini kama wananchi,hoja zetu ziwe maendeleo.
Na mnataka saa zote watu waongelee tetesi?na kama kuna mgawanyiko huko si ndio fursa sasa ya vyama vingine kujiimarisha.
Tunataka maendeleo,hiyo mambo ya kofia hatutaki kujua.
Mpeni mama muda afanye kazi
Naamini hata mshaanza kumchokesha na madai kila siku.
Labda unieleze mimi kama Mtanzania kofia ya uenyekiti inaniathiri wapi.Hata hayo ni maendeleo pia kwani ujui mambo ya kofia uathiri maendeleo pia.
Kofia mbili uzalishaji udikteta.Umeona madhara ya kuongozwa na dikteta.Labda unieleze mimi kama Mtanzania kofia ya uenyekiti inaniathiri wapi.
Hamjawahi kuongozwa na dikteta,unajua mnashangaza,kuna nchi huwezi jaribu hata kutusi Rais ukabaki safe.Kofia mbili uzalishaji udikteta.Umeona madhara ya kuongozwa na dikteta.
Mwafrika hana uwezo wa kuongoza Jamii ni lazima awekewe mfumo wa kumdhibiti Ili asiumize jamii.Raisi anamuogopa mwenyekiti wa chama kwa maana akienda kinyume na katiba anafutwa uanachama na uraisi wake unakoma hapo hapo kama ilivyo ANC au ZANU PF.Kila mmoja anakuwa na nguvu eneo lake.
Kofia mbili ni lzm zitenganishwe Ili kuzuia udikteta nchini kwani madikteta still wangalipo.
Wale wapenda madaraka ndiyo wanaeneza uchochezi huu. Shida wenzenu watolewe uwaziri mpewe nyinyi. Wazazi wenu walikula mnataka mpaka wajukuu wale.Ongeza nyama kidogo basi kwenye huu uzi. Nimekuja mkuku kusoma orodha ya waliopo nyuma ili nikawasemehe kwa mama lakini hakuna nilichoambulia.
Weka majina yao uzi uchangamke basi hata kama ni ya kutunga mkuu.
Kwa msukuma mwenzenu mbona hamkuzuia ilo mbu.zi nyie, safari hii mtatiwa adabu,ngojea mama apewe uenyekiti wa chamaKofia mbili ni lzm zitenganishwe Ili kuzuia udikteta nchini kwani madikteta still wangalipo.
Waliosema "uking'atwa na nyoka ukiona unyasi unashtuka" waliona mbaliKofia mbili ni lzm zitenganishwe Ili kuzuia udikteta nchini kwani madikteta still wangalipo.
Tanzania itabidi tubadilike,hoja za watu mara kofia ya uenyekiti haitusaidii,tutazame tunataka nini kama wananchi,hoja zetu ziwe maendeleo.
Na mnataka saa zote watu waongelee tetesi?na kama kuna mgawanyiko huko si ndio fursa sasa ya vyama vingine kujiimarisha.
Tunataka maendeleo,hiyo mambo ya kofia hatutaki kujua.
Mpeni mama muda afanye kazi.
Naamini hata mshaanza kumchokesha na madai kila siku.
Katika hao vijana milion 30 toa vijana wa yanga waliobaki wote ni machachariTanzania kuna vijana zaidi ya mil. 30, sasa wewe unaposema hawa vijana machachari tukuelewe vipi?
Humu mara nyingi mijadala ya maendeleo hakuna,hata wewe pia labda uelewa wako ni mdogo zaidi huwezi nielewa.Mijadala ya hivi inazuia vipi maendeleo? Au uwezo wako wa kuchakata mijadala ya hivi na maendeleo ni mdogo?
Aliyepania kunyoosha watu,kanyooshwa yeye.Ukijua hii wenzio wanajua ile.Kwa msukuma mwenzenu mbona hamkuzuia ilo mbu.zi nyie, safari hii mtatiwa adabu,ngojea mama apewe uenyekiti wa chama