mohamedjohn
JF-Expert Member
- Sep 24, 2020
- 467
- 277
Hahahaha [emoji16][emoji3][emoji16][emoji3][emoji16][emoji3]Katika hao vijana milion 30 toa vijana wa yanga waliobaki wote ni machachari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha [emoji16][emoji3][emoji16][emoji3][emoji16][emoji3]Katika hao vijana milion 30 toa vijana wa yanga waliobaki wote ni machachari
Humu mara nyingi mijadala ya maendeleo hakuna,hata wewe pia labda uelewa wako ni mdogo zaidi huwezi nielewa.
Tunapoteza muda kujadili kofia ya uenyekiti what for?
Tunataka serikali itatue kero zetu,mambo ya ndani ya chama ni yao.
Mkuu hili jukwaa ni huru, kama una mijadala ya maendeleo ilete itajadiliwa, na sio kutaka wengine wajadili mijadala unayoitaka ww. Weka hiyo mijadala yako ya kero serikali ikutatulie, na uko huru kabisa maana hiyo ni haki yako.
Labda unieleze mimi kama Mtanzania kofia ya uenyekiti inaniathiri wapi.
Hamjawahi kuongozwa na dikteta,unajua mnashangaza,kuna nchi huwezi jaribu hata kutusi Rais ukabaki safe.
Amazing kama hii thread bado ipo hewani...Ni ajabu sana hawa vijana machachari wenye uwezo mkubwa wa kulinganisha na kufaninisha utendaji wa watu kushindwa kuzungumzia hata kwa kificho, tetesi zinazoenea mitandaoni za kutaka kutenganisha kofia ya Uenyekiti wa CCM na Urais wakiwa kimya mpaka muda huu na kushindwa kuongea chochote. Kwa kweli nimeshangaa sana?
Suala la utamaduni wa CCM wa kuvaa kofia mbili pamoja, vijana hawa wanalijua lakini kukaa kwao kimya wanafanya walete sintofahamu ya kinachoendelea baina yao. Pengine wana mpango na wapo nyuma ya mpango wa kitu fulani kwa sababu wahenga wanasema kimya kingi kina mshindo mkuu.
Swali: Je, hawa vijana wapo nyuma ya mkakati huo ovu? Tutafakari pamoja
Hapo issue sio maendeleo ya nchi bali ya chama cha CCM period. Do not mix the two maendeleo ya wananchi na maendelao ya chama.Tanzania itabidi tubadilike,hoja za watu mara kofia ya uenyekiti haitusaidii,tutazame tunataka nini kama wananchi,hoja zetu ziwe maendeleo.
Na mnataka saa zote watu waongelee tetesi?na kama kuna mgawanyiko huko si ndio fursa sasa ya vyama vingine kujiimarisha.
Tunataka maendeleo,hiyo mambo ya kofia hatutaki kujua.
Mpeni mama muda afanye kazi.
Naamini hata mshaanza kumchokesha na madai kila siku.
Ana maanisha wake vijana wanaomchukulia dada zake!Tanzania kuna vijana zaidi ya mil. 30, sasa wewe unaposema hawa vijana machachari tukuelewe vipi?
emeric lapota,mbappe,foden,raniel nkOngeza nyama kidogo basi kwenye huu uzi. Nimekuja mkuku kusoma orodha ya waliopo nyuma ili nikawasemehe kwa mama lakini hakuna nilichoambulia.
Weka majina yao uzi uchangamke basi hata kama ni ya kutunga mkuu.