Je, hawa ndio wapo nyuma ya mkakati wa kutaka kutenganisha Uenyekiti na Urais?

Humu mara nyingi mijadala ya maendeleo hakuna,hata wewe pia labda uelewa wako ni mdogo zaidi huwezi nielewa.
Tunapoteza muda kujadili kofia ya uenyekiti what for?
Tunataka serikali itatue kero zetu,mambo ya ndani ya chama ni yao.

Mkuu hili jukwaa ni huru, kama una mijadala ya maendeleo ilete itajadiliwa, na sio kutaka wengine wajadili mijadala unayoitaka ww. Weka hiyo mijadala yako ya kero serikali ikutatulie, na uko huru kabisa maana hiyo ni haki yako.
 
Mkuu hili jukwaa ni huru, kama una mijadala ya maendeleo ilete itajadiliwa, na sio kutaka wengine wajadili mijadala unayoitaka ww. Weka hiyo mijadala yako ya kero serikali ikutatulie, na uko huru kabisa maana hiyo ni haki yako.
 
Mambo ya chama na ya serikali yanaingiliana na hiyo inasababisha double standards.
Labda unieleze mimi kama Mtanzania kofia ya uenyekiti inaniathiri wapi.
 
Amazing kama hii thread bado ipo hewani...

Moderator pls
 
Kuna vijana walitoswa na Magufuli wakanuna,wakatoswa na Samia wamechukia sana.
Na kwa Samia huyo atakaa miaka 10,wanazidi kuchanganyikiwa
 
Hapo issue sio maendeleo ya nchi bali ya chama cha CCM period. Do not mix the two maendeleo ya wananchi na maendelao ya chama.
 
Kwa muda ambao SERIKALI yetu imeemdeshwa na kiongozi mwenye kofia mbili inatosha kuwa case study ya namna serikali ilivyoongozwa/endeshwa. Aidha ni wakati sasa wa kuondoa mfumo huo ambao umekuwepo/umewekwa ili chama chenye mfumo huo kineemeke na uendeshwaji wa serikali/dola. Nadhani ni vyema Mh. Mama Samia apewe huo uwenyekiti ili: Mosi, atuletee KATIBA MPYA ambayo itaweka namna ya upatikanaji wa wajumbe wa Tume ya Uchaguzi huru ambayo haitaingiliwa na RAIS na vyombo vyake (Dola). Upatikanaji wa maafisa wa Idara ya Msajili wa Vyama. Kwenye Tume ya Uchaguzi watumishi wa Serikali za Mitaa wasihusike kwa namna yeyote.
 
Ongeza nyama kidogo basi kwenye huu uzi. Nimekuja mkuku kusoma orodha ya waliopo nyuma ili nikawasemehe kwa mama lakini hakuna nilichoambulia.

Weka majina yao uzi uchangamke basi hata kama ni ya kutunga mkuu.
emeric lapota,mbappe,foden,raniel nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…