- Thread starter
- #21
We punguza ujinga!! kasongo Hamza na Hamza was polisi ni watu wawili tofauti kabisa!! usimchafue mzee wa watu kwa ujinga wako wa kutokujua.
Tofautisha watu hawa ewe mjinga uliyekubuhu ukapitiliza:
1. Hamza
2. Kasongo
3. Hamza Kasongo
4. Kasongo Hamza
Kama hujui Kasongo = Mrefu
Kasongo Hamza = Hamza aliye Mrefu.
Kwani yule mzee wa kazi alikuwa mbilikimo?
Ama kweli ujinga taaluma na unaonyesha kwa hakika umeizamia ukapata na ka PhD!