Je, hawa ni wafuasi wa Chama cha Mapinduzi?

We punguza ujinga!! kasongo Hamza na Hamza was polisi ni watu wawili tofauti kabisa!! usimchafue mzee wa watu kwa ujinga wako wa kutokujua.

Tofautisha watu hawa ewe mjinga uliyekubuhu ukapitiliza:

1. Hamza
2. Kasongo
3. Hamza Kasongo
4. Kasongo Hamza

Kama hujui Kasongo = Mrefu

Kasongo Hamza = Hamza aliye Mrefu.

Kwani yule mzee wa kazi alikuwa mbilikimo?

Ama kweli ujinga taaluma na unaonyesha kwa hakika umeizamia ukapata na ka PhD!
 
Chadema hao wenyewe kwa wenyewe, si unaona alievaa sare za CCM amefichwa sura ili wale wanaomfahamu kuwa ni Chadema wasije kumshtukia. Jamaa wana propaganda za kitoto sana, ila uchaguzi ukifika wanaangukia pua.

Mkuu wako a kazi USSR anapingana na wewe Mr Dudumizi :

 
.

Siku yaja na haiko mbali kibao kitageuka tusije kulaumiana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…