Je, hawa tu ndio CCM vyuo vikuu?

Je, hawa tu ndio CCM vyuo vikuu?

Bukanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2010
Posts
2,857
Reaction score
1,936

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akipokea Vijana wa Shirikisho la CCM la vijana wa CCM wlioko vyuo vya Elimu ya Juu, walipofika leo kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Dar es Salaam, kumfikishia ujumbe wao kuhusu mawaziri na watumishi wa serikali wanaotuhumiwa kuhusika na upotefu wa fedha za umma.

Nape akisoma ujumbe kwenye moja ya mabango waliyofika nayo wanafuvyo hao.

Wanavyuo wakionyesha bango la kuwataka wasaidizi wa Rais kuwajibika inapobidi.

. Nape akisoma ujumbe uliloonyesha kumvutia zaidi kwenye moja ya mabango ya wanavyuo hao.

Vijana hao wakionyesha bango lenye ujumbe mahsusi kuhusu maana ya Mapinduzi.

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akizungumza na vijana wa Shirikisho la CCM la vijana wa CCM wlioko vyuo vya Elimu ya Juu, walipofika leo kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Dar es Salaam, kumfikishia ujumbe wao kuhusu mawaziri na watumishi wa serikali wanaotuhumiwa kuhusika na upotefu wa fedha za umma
 
ukisoma kwa makini hayo mabango yameandikwa na mtu mmoja.
Then kama ni maandamano ya kumpongeza JK na CCM yake mbona waandamanaji hao wamekua na sura za unyonge kama vile hawapendi hili jambo wanalolifanya????
 
Hilo kofia la nape ni zuri sana kuzuia jua, najua kwanini analivaa!!
 
[h=3][/h]Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akipokea Vijana wa Shirikisho la CCM la vijana wa CCM wlioko vyuo vya Elimu ya Juu, walipofika leo kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Dar es Salaam, kumfikishia ujumbe wao kuhusu mawaziri na watumishi wa serikali wanaotuhumiwa kuhusika na upotefu wa fedha za umma.

Nape akisoma ujumbe kwenye moja ya mabango waliyofika nayo wanafuvyo hao.

Wanavyuo wakionyesha bango la kuwataka wasaidizi wa Rais kuwajibika inapobidi.

. Nape akisoma ujumbe uliloonyesha kumvutia zaidi kwenye moja ya mabango ya wanavyuo hao.

Vijana hao wakionyesha bango lenye ujumbe mahsusi kuhusu maana ya Mapinduzi.

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akizungumza na vijana wa Shirikisho la CCM la vijana wa CCM wlioko vyuo vya Elimu ya Juu, walipofika leo kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Dar es Salaam, kumfikishia ujumbe wao kuhusu mawaziri na watumishi wa serikali wanaotuhumiwa kuhusika na upotefu wa fedha za umma

Source:Mjengwa blog
 
Waganga njaa watupu! Huyo bibi picha ya kwanza nyuma ya Nape, si angetumia weekend yake kukaa na Wajukuu tu badala ya kwenda kupoteza muda wake kufanya mambo ya kijinga!
 
Hayo yalikuwa maandamano ya kwenda msibani? Mbona wanaonekana wana sura za huzuni!
 
waandamanaji wenyewe wako wapi? Mbona hawazidi hata kumi. Naona ni kakikundi tu kadogo kawatu kalikobeba mabango. hii sasa aibu bora wasingepublicize, maana tuna uhakika wangekuwa wa CHADEMA hata pa kukanyaga pasingekuwepo.
 
Njaa haimpendezi mtu
njaa balaa...hata yule renatus mkinga aliyekuwa anawacheka wanafunzi/vijana wa udom kuwa sasa wanasoma kwenye giza totoro(kipindi cha mgao wa umeme) baada kuichagua ccm naye sasa amekuwa vuvuzela la ccm kama hawa misukule tunaowaona...!
 
Haya ni maandamano makubwa sana ya wanavyuo kuwahi kutokea yakiunga mkono juhudi za jk,umati unatosha kabisa,ona vijana walivyojazana,viva ccm,viva magamba,hongereni wanavyuo kwa ujasiri wenu wa kufanywa wapiga debe wa bei nafuu
 
Back
Top Bottom