Je, hawa watu wa wataenda mbinguni?

Je, hawa watu wa wataenda mbinguni?

donga

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2017
Posts
2,555
Reaction score
5,202
Wakuu habarini za jioni

Nipo napitia Bible hapa kuna kitu kimenitatiza kidogo

Swali langu..wakati mussa yupo mlima sinai akiwa anapokea amri za mungu.

Huku jamii alioiacha walianza kuchonga sanamu kuabudu

Je, hawa watu walitenda dhambi? Kwa kuabudu miungu wengine

Sasa kama walitenda dhambi,
Inakuwaje walitenda dhambi wakati kosa lilifanyika wakati sheria zinaandaliwa na walikuwa hawajui

Ahsanten ni hayo tu kwa leo
 
Huyo Musa hakuwapo, na hakuna mtu yeyote atakayekwenda mbinguni.

Kwa sababu habari za kuwapo mbinguni ni hadithi tu. Hakuna mbingu ambayo mtu yeyote ataenda.

Wewe ishi maisha yako vizuri hapahapa duniani, usisubiri mbingu.
 
Hapo cha ukweli unachoweza kusema ni ukweli kipo ni mlima sinai tu. Hivyo vingine wachana navyo fanya mambo mengine
Ni kweli labda wengine wanaweza tusaidia uelewa tunatofautiana
 
Huyo Musa hakuwapo, na hakuna mtu yeyote atakayekwenda mbinguni.

Kwa sababu habari za kuwapo mbinguni ni hadithi tu. Hakuna mbingu ambayo mtu yeyote ataenda.

Wewe ishi maisha yako vizuri hapahapa duniani, usisubiri mbingu.
Kwa nini mtu ^aishi maisha mazuri^ hapa duniani, kama hakuna mbingu? It doesn't make sense. Does it? From which source do you derive morality?
 
Inakuwaje walitenda dhambi wakati kosa lilifanyika wakati sheria zinaandaliwa na walikuwa hawajui
GREAT QUESTION. CLEARLY & SUCCINTLY, it means the law existed EVEN BEFORE Israel was formally given at Sinai.
 
Yap najua kusoma kwa ufasaha
Anzia hapa.

How to Read the Bible​

A Guide to Scripture, Then and Now​

READ AN EXCERPT
Scholars from different fields have joined forces to reexamine every aspect of the Hebrew Bible. Their research, carried out in universities and seminaries in Europe and America, has revolutionized our understanding of almost every chapter and verse. But have they killed the Bible in the process?

In How to Read the Bible, Harvard professor James Kugel leads the reader chapter by chapter through the “quiet revolution” of recent biblical scholarship, showing time and again how radically the interpretations of today’s researchers differ from what people have always thought. The story of Adam and Eve, it turns out, was not originally about the “Fall of Man,” but about the move from a primitive, hunter-gatherer society to a settled, agricultural one. As for the stories of Cain and Abel, Abraham and Sarah, and Jacob and Esau, these narratives were not, at their origin, about individual people at all but, rather, explanations of some feature of Israelite society as it existed centuries after these figures were said to have lived. Dinah was never raped — her story was created by an editor to solve a certain problem in Genesis. In the earliest version of the Exodus story, Moses probably did not divide the Red Sea in half; instead, the Egyptians perished in a storm at sea. Whatever the original Ten Commandments might have been, scholars are quite sure they were different from the ones we have today. What’s more, the people long supposed to have written various books of the Bible were not, in the current consensus, their real authors: David did not write the Psalms, Solomon did not write Proverbs or Ecclesiastes; indeed, there is scarcely a book in the Bible that is not the product of different, anonymous authors and editors working in different periods.

Such findings pose a serious problem for adherents of traditional, Bible-based faiths. Hiding from the discoveries of modern scholars seems dishonest, but accepting them means undermining much of the Bible’s reliability and authority as the word of God. What to do? In his search for a solution, Kugel leads the reader back to a group of ancient biblical interpreters who flourished at the end of the biblical period. Far from naïve, these interpreters consciously set out to depart from the original meaning of the Bible’s various stories, laws, and prophecies — and they, Kugel argues, hold the key to solving the dilemma of reading the Bible today.

How to Read the Bible is, quite simply, the best, most original book about the Bible in decades. It offers an unflinching, insider’s look at the work of today’s scholars, together with a sustained consideration of what the Bible was for most of its history — before the rise of modern scholarship. Readable, clear, often funny but deeply serious in its purpose, this is a book for Christians and Jews, believers and secularists alike. It offers nothing less than a whole new way of thinking about sacred Scripture.
 
GREAT QUESTION. CLEARLY & SUCCINTLY, it means the law existed EVEN BEFORE Israel was formally given at Sinai.
Mhhh hii pia inaweza kuwa sahihi maana nilijiuliza pia
Je inamaana kabla ya hizi sheria za mungu dhambi jamii zote zilikuwa hata zikitenda baadhi ya makosa yalioorodheshwa hazikuwa dhambi nikagundua NO
Sababu nilirudi nyuma kisa cha kaini nikagundua alivomuua kaka yake na aliadhibiwa
 
Let's assume that they didn't know the law (which is actually the opposite), here is what Apostle Paul is saying:

11 kwa maana hakuna upendeleo kwa Mungu.

12 Kwa kuwa wote waliokosa pasipo sheria watapotea pasipo sheria, na wote waliokosa, wenye sheria, watahukumiwa kwa sheria.

13 Kwa sababu sio wale waisikiao sheria walio wenye haki mbele za Mungu, bali ni wale waitendao sheria watakaohesabiwa haki.

14 Kwa maana watu wa Mataifa wasio na sheria wafanyapo kwa tabia zao yaliyo ndani ya torati, hao wasio na sheria wamekuwa sheria kwa nafsi zao wenyewe.

15 Hao waionyesha kazi ya torati iliyoandikwa mioyoni mwao, dhamiri yao ikiwashuhudia, na mawazo yao, yenyewe kwa yenyewe, yakiwashitaki au kuwatetea;

16 katika siku ile Mungu atakapozihukumu siri za wanadamu, sawasawa na injili yangu, kwa Kristo Yesu.

Romans 2
 
Unaweza muhukumu mtu kwa asichokijua?
 
Mawazo ya Mungu hayachunguziki kirahisi, vipi kama Yuda aliyemsaliti Yesu, machoni pa wanadamu anaonekana ni mkosaji then ikawa opposite [emoji848]
 
Back
Top Bottom