milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Kifo ni kifo tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
These are just baseless news.Mkuu nje ya mada. Je ni kweli Belgium na France zinajipaga kuvishambulia vituo vya kijeshi nchini Rwanda?
Kizazi cha sasa kinajua ni Adui, kumbe hao ndio maana halisi ya Tanzania kabla hayajaja kambo ya Chato wala Kizimkazi.Sikutegemea kabisa kwa Mtu kama huyu Profesa Sarungi kupata haya Mahudhurio hafifu Karimjee Hall. Nimesikitika mno.
Mimi sio wa hivyo .Tafuta o wenzioHivi aliyekufa ni Mzee Sarungi ninayemfahamu Mimi au ni huyu Mzee wako Sarungu ambaye Watu wote hata hawamjui?
Hovyoooooo...!!!!!!!Mimi sio wa hivyo .Tafuta o wenzio
Ni kweli.Time flies ndugu
Kumbuka Sarungi ni kizazi cha mwisho mwisho kilichokuwa bora kabisa na PURE
So vijana wengi wa sasa huendi hatumfaham vema kama sio wafuatiliaje vema wa mambo
Mila na Wazee wa Rorya wanataka kufukua wakazike Shirati? Utegi ?? Takuwaje sasaaaa???...nami.nilishangaa Chief kuzikwa Dar nikaguna na kusubiri maana muda weeeee ndio kila kituSikutegemea kabisa kwa Mtu kama huyu Profesa Sarungi kupata haya Mahudhurio hafifu Karimjee Hall. Nimesikitika mno.