Imeshakula kwako...halafu namba za kitambulisho zinakuwaga ni tarehe ya kuzaliwa ngoja baadae ntakupigia picha kitambulisho changu uoneDuh kwahio unaeza kuta kitambulisho kitatoka kina hio tarehe imekosewa
Kubadilisha information kwny kitambulisho inawezekana lkn ni process ndefuJe Haibadilishiki mf nikienda ku request kitambulisho kipya?
Hapo utazidi kumchanganyauliangalia na mwaka mkuu? unaweza kukuta kaweka mwaka jana...stress
nazingua tuu ShunieHapo utazidi kumchanganya