Je, haya ndio madhara ya awali ya kubinafsisha Bandari?

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Ameandika Martin Maranja Masese huko twitter:

Bohari ya kuhifadhi kontena ya nchi kavu (Inland Container Depots (ICD) eneo la Kurasini, wamepewa SALISLA kwa utaratibu gani? Ni sehemu ya makubaliano na DP WORLD? Je, malipo hayafanywi kwa control number isipokuwa kwa utaratibu wa SALISLA? Ni nani hawa?

Taarifa yao hii hapa:

1686717030945.png
 
View attachment 2656713
Hii nia mali ya mtu binafsi so ana hiyari ya kufanya chochote haihusiani na serikali. Hawa walizingua wakafungiwa naona wameuza goli.
 
Hakuna madhara, ila madhara yapo kwa wale walio kuwa wanapiga a.k.a wapigaji, DPW itawabana sana hawawezi kupiga dili.

DPW itakomesha dili haramu bandarini.
Sawa ili fedha zetu ziende Uarabuni.
 
Wapuuzi katika ubora wenu
Hakuna madhara, ila madhara yapo kwa wale walio kuwa wanapiga a.k.a wapigaji, DPW itawabana sana hawawezi kupiga dili.

DPW itakomesha dili haramu bandarini.
 
Ameandika Martin Maranja Masese huko twitter:

Bohari ya kuhifadhi kontena ya nchi kavu (Inland Container Depots (ICD) eneo la Kurasini, wamepewa SALISLA kwa utaratibu gani? Ni sehemu ya makubaliano na DP WORLD? Je, malipo hayafanywi kwa control number isipokuwa kwa utaratibu wa SALISLA? Ni nani hawa?

Taarifa yao hii hapa:

View attachment 2656713
Wewe ulitaka apewe nani!
 
Mungu ihurumie Tanzania
 
Hakuna madhara, ila madhara yapo kwa wale walio kuwa wanapiga a.k.a wapigaji, DPW itawabana sana hawawezi kupiga dili.

DPW itakomesha dili haramu bandarini.
Wabongo mko kama Watumwa yaani ! hata kuwaza hamuwezi tena !
 
Back
Top Bottom