Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Ushawahi kufanya nao KAZI?Hakuna madhara, ila madhara yapo kwa wale walio kuwa wanapiga a.k.a wapigaji, DPW itawabana sana hawawezi kupiga dili.
DPW itakomesha dili haramu bandarini.
Hii nia mali ya mtu binafsi so ana hiyari ya kufanya chochote haihusiani na serikali. Hawa walizingua wakafungiwa naona wameuza goli.Ameandika Martin Maranja Masese huko twitter:
Bohari ya kuhifadhi kontena ya nchi kavu (Inland Container Depots (ICD) eneo la Kurasini, wamepewa SALISLA kwa utaratibu gani? Ni sehemu ya makubaliano na DP WORLD? Je, malipo hayafanywi kwa control number isipokuwa kwa utaratibu wa SALISLA? Ni nani hawa?
Taarifa yao hii hapa:
View attachment 2656713
Sawa ili fedha zetu ziende Uarabuni.Hakuna madhara, ila madhara yapo kwa wale walio kuwa wanapiga a.k.a wapigaji, DPW itawabana sana hawawezi kupiga dili.
DPW itakomesha dili haramu bandarini.
Hakuna madhara, ila madhara yapo kwa wale walio kuwa wanapiga a.k.a wapigaji, DPW itawabana sana hawawezi kupiga dili.
DPW itakomesha dili haramu bandarini.
Wewe ulitaka apewe nani!Ameandika Martin Maranja Masese huko twitter:
Bohari ya kuhifadhi kontena ya nchi kavu (Inland Container Depots (ICD) eneo la Kurasini, wamepewa SALISLA kwa utaratibu gani? Ni sehemu ya makubaliano na DP WORLD? Je, malipo hayafanywi kwa control number isipokuwa kwa utaratibu wa SALISLA? Ni nani hawa?
Taarifa yao hii hapa:
View attachment 2656713
Mungu ihurumie TanzaniaAmeandika Martin Maranja Masese huko twitter:
Bohari ya kuhifadhi kontena ya nchi kavu (Inland Container Depots (ICD) eneo la Kurasini, wamepewa SALISLA kwa utaratibu gani? Ni sehemu ya makubaliano na DP WORLD? Je, malipo hayafanywi kwa control number isipokuwa kwa utaratibu wa SALISLA? Ni nani hawa?
Taarifa yao hii hapa:
View attachment 2656713
Wabongo mko kama Watumwa yaani ! hata kuwaza hamuwezi tena !Hakuna madhara, ila madhara yapo kwa wale walio kuwa wanapiga a.k.a wapigaji, DPW itawabana sana hawawezi kupiga dili.
DPW itakomesha dili haramu bandarini.