Je, haya ni madini gani?

Je, haya ni madini gani?

Joined
Nov 22, 2020
Posts
25
Reaction score
6
Kwa anayejua aina haya ya madini naomba aniambie.

IMG_20210223_114115.jpg
IMG_20210223_114009.jpg
 
Hapo pana Quartz na mauchafu uchafu. Hazina thaman kabisa. Ona wenzako gramu 100 wanauza dola 8.

Screenshot_2021-02-23-23-49-13-031_com.android.chrome.jpg
 
Hayo ni madini aina ya glass, yanatumika kwenye utengenezaji wa vifungashio vya kimiminika kama beer na thoda,utakuwa na tani ngap tufanye biashara.
 
Ni chupa ya beer Bingwa iliyovunjika baada kuangukia chungu cha ulanzi.

Kuna atakayenasa kweli?? 😆

Everyday is Saturday................................😎
Hivi sio vipande vya chupa ya stoney tangawizi kweli?
 
Kwa kuonyeshwa sample kama hivi ni ngumu sana kuweza kuguess,

Katika kujua {probably} ni madini gani, kuna vitu vya kujua;
Umeyatoa maeneo gani? Umeyaokota randomly au vipi?

Eneo linaweza kutupa background info ya Geology ya hapo
 
Back
Top Bottom