Je, haya ni madini gani?

Je, haya ni madini gani?

Kwa kuonyeshwa sample kama hivi ni ngumu sana kuweza kuguess,

Katika kujua {probably} ni madini gani, kuna vitu vya kujua;
Umeyatoa maeneo gani? Umeyaokota randomly au vipi?

Eneo linaweza kutupa background info ya Geology ya hapo
nimeyaokota mkuu boma moshi huko
 
mchezo wa rupia sasa unaanza muuza rupia na mtoa thamani ya rupia kuzitaka kwa ID mbili mpaka tatu
 
Back
Top Bottom