Je, haya ni madini gani?

Hapo pana Quartz na mauchafu uchafu. Hazina thaman kabisa. Ona wenzako gramu 100 wanauza dola 8.

 
Hayo ni madini aina ya glass, yanatumika kwenye utengenezaji wa vifungashio vya kimiminika kama beer na thoda,utakuwa na tani ngap tufanye biashara.
 
Ni chupa ya beer Bingwa iliyovunjika baada kuangukia chungu cha ulanzi.

Kuna atakayenasa kweli?? 😆

Everyday is Saturday................................😎
Hivi sio vipande vya chupa ya stoney tangawizi kweli?
 
Umejuaje kama hayo ni madini kiongozi?
Kila jiwe ni aina mojawapo ya madini. Issue ni thamani, maana mwingine thamani yake ni kidogo sana. Unaweza kujaza kicarry na unaweza kuuza only 20000 tshs.
Mchanga nao ni madini
 
Kwa kuonyeshwa sample kama hivi ni ngumu sana kuweza kuguess,

Katika kujua {probably} ni madini gani, kuna vitu vya kujua;
Umeyatoa maeneo gani? Umeyaokota randomly au vipi?

Eneo linaweza kutupa background info ya Geology ya hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…