Je haya ni madini?

Uwesu Habibu

New Member
Joined
Sep 23, 2015
Posts
2
Reaction score
2
Habarini wana JF.

Poleni kwa majukumu. Je, kuna mtu yeyote anaeweza nisaidia kuniambia kama haya ni madini au la?

Naomba msaada wenu wakuu

 
Kuna watu watakuja PM uwapige haswa maana hakuna namna
Swali lako linavutia [emoji23]


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
TumeipendaWenyewe Wala Hatukuandikiwa Barua Acha Ituue
 
Poa Mjomba Uwesu ngoja Madigala waje watakupa jibu.Mzee Baba naona Shavu lako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…