johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Tatizo katiba. Katiba hii isipobadilika atakuja chizi mwingine atateuwa mkewe, wanaye, ndugu zake, jirani zake na wanakijiji wenzake kutengeneza serikali, halafu ataamuru tucharazwe viboko 3 kila asubuhi.Tazama Mahakama na Bunge zilivyobadilika ghafla.
Nimesikia tarehe 1 July Ufipa wanaanzisha vuguvugu la kudai hiyo new katiba!Tatizo katiba. Katiba hii isipobadilika atakuja chizi mwingine atateuwa mkewe, wanaye, ndugu zake, jirani zake na wanakijiji wenzake kutengeneza serikali, halafu ataamuru tucharazwe viboko 3 kila asubuhi.
Hahahaaaa!! Bwashee unauliza swali badala ya kujibu?!!!Tukuulize wewe kiongozi wa praise and worship team ya Magu ,
inamaana ulikuwa unamwabudu mtu usomjua?
Bwashee CCM ni chama kikubwa!Mnataka sasa kuanza kumtenga Magu na CCM maskini, kwamba marosoroso yale yote aliyofanya mnataka kumuangushia jumba bovu peke yake? Si mliona raha kuendesha ma V8 sijui V80 aliyowapa, ni sehemu yenu yule.
Wewe pia naona kama swali lako ni ile tunaita rhetoricalHahahaaaa.......... Bwashee unauliza swali badala ya kujibu?!!!
Haha umenena mtu wa Mungu.Alikuwa anatenda kadri KICHAA chake kilivyokuwa kinamtuma. Ndiyo maana mara inamkuta feri kwa wauza samaki, mara anakula hindi la kuchoma pale Dakawa au unamkuta amelalà kwewnye mawe ya Chamwino kama kenge mwe mimba
Magufuli alikuwa mtawala wa kijeshi kupitia CCM! Ndiyo sababu kila wakati alikuwa anazungukwa na General Mabeyo na IGP Siro!Kwenye uchaguzi mkuu option huwa ni mbili kuna wanaochagua chama na Ilani yake na kuna wengine wanachagua mtu bila ya kujali itikadi za kisiasa.
Kuna wakati RC mstaafu wa Mbeya Albert Chalamila aliwahi kusema kwa utendaji wa Magufuli ulivyo inabidi kianzishwe chama kingine kitakachoitwa Magufuli Ruling Party
Miezi mitatu baada ya kifo cha Magufuli nimeikumbuka hii hoja ya Mtumbuliwa Albert Chalamila.
Ndio nauliza waungwana yule hayati Magufuli alikuwa anatekeleza ilani ya CCM au aliongoza kwa maono binafsi?
Tazama Mahakama na Bunge zilivyobadilika ghafla.
Nawasalimu kwa jina la JMT!
Àlitenda kama muhuni tu niamini mimiKwenye uchaguzi mkuu option huwa ni mbili kuna wanaochagua chama na Ilani yake na kuna wengine wanachagua mtu bila ya kujali itikadi za kisiasa.
Kuna wakati RC mstaafu wa Mbeya Albert Chalamila aliwahi kusema kwa utendaji wa Magufuli ulivyo inabidi kianzishwe chama kingine kitakachoitwa Magufuli Ruling Party.
Miezi mitatu baada ya kifo cha Magufuli nimeikumbuka hii hoja ya Mtumbuliwa Albert Chalamila.
Ndio nauliza waungwana yule hayati Magufuli alikuwa anatekeleza ilani ya CCM au aliongoza kwa maono binafsi?
Tazama Mahakama na Bunge zilivyobadilika ghafla.
Nawasalimu kwa jina la JMT!