Jemima Mrembo
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 2,864
- 8,328
Tuanzie hapo kwenye ubaridi,je wewe ulishawahi kuitwa ofisini kwake na ukapata huo ubaridi au unasimuliwa tu?
Na tuuchawi alikuwa natoAlikuwa WA kawaida ila alitumia mifumo ya usalama Sana na kuifabyia kazi
Uchawa WA kuzidi watu WA BagamoyoNa tuuchawi alikuwa nato
UONGO.Nilipokuwa nafanya kazi TANROADS kuna uzembe fulani ulifanyika ofisini. Mkurugenzi wa idara pamoja na mimi tulipigiwa simu twende ofisini kwake. Yule m'baba hakuwa wa kawaida aisee
Tena uwongo kabisaUONGO.
Kwenye English sasa hapoKweli mwamba alikuwa anaogopwa mpaka kwenye nchi za watu.
He was a no nonsense guy.
Ukiona mtu anajitangaza tangaza sana kwamba yeye ni mtu wa Mungu, huku akiwa hajali utu wa mtu, wala maisha ya watu, anaongea uwongo hadi madhabahuni, huyo mtu lazima awe mchawi.
Ukiona mtu anajitangaza tangaza sana kwamba yeye ni mtu wa Mungu, huku akiwa hajali utu wa mtu, wala maisha ya watu, anaongea uwongo hadi madhabahuni, huyo mtu lazima awe mchawi.
Magufuli alikuwa ni mtawala anayeogopwa sana. Ukiitwa ofisini kwake unapatwa na ubaridi yabisi hadi kwenye mifupa.
Watu wote tulimuogopa sana. Nchi nzima hakuna aliyeweza kumnyooshea kidole.
Wataalam wa mambo yasiyo onekana wanasema ili uweze kuwa na kaliba ile ni lazima uwe na hirizi ya Simba. Je rais wetu alikuwa na hiyo hirizi?
Huwezi tenganisha utawala na ushirikina AfricaAchana na imani za kishirikina, aint no such thing as hirizi ya simba.
Ukali wake ulitosha kuweka hofu na si ushirikina