Je, Hayati Magufuli alikuwa na hirizi ya simba?

Je, Hayati Magufuli alikuwa na hirizi ya simba?

Magufuli alikuwa ni mtawala anayeogopwa sana. Ukiitwa ofisini kwake unapatwa na ubaridi yabisi hadi kwenye mifupa.

Watu wote tulimuogopa sana. Nchi nzima hakuna aliyeweza kumnyooshea kidole.

Wataalam wa mambo yasiyo onekana wanasema ili uweze kuwa na kaliba ile ni lazima uwe na hirizi ya Simba. Je rais wetu alikuwa na hiyo hirizi?

Aahaaaaaa,JPM alikuwa ni Simba aisee
 
Pamoja na madhaifu yake meeeengi....
Lakini alileta nidhamu na uwajibikaji.
Pia wezi na mafisadi walimuogopa kwasababu alizijua njia zao kwakua aliishi kwenye mfumo tangu wakati wa BM.
Alikua na uchungu na rasilimali za taifa pia alikua alikua na maono yake kwa taifa.
Aliwapenda wanyonge na nakupenda masikini aonewe.
Alisimamia kile alicho kiamini hata kama alikua anaumiza wengine, lakini alisisitiza msimamo wake.
Nakubaliana na wewe hapo uliposema alikisimamia kile anachokiamini hata kama kinaumiza wengine .Mfano wakati wa utawala wake alikataa kuongeza mishahara watumishi wetu kwa hoja kwamba badala ya kuwaongezea watumishi mishahara ni bora hizo hela zitumike kuboreshea huduma za jamii na kujengea miundombinu ambayo hata hao watumishi watafaidi pamoja na watu wengine.Huku akiwasisitiza chapeni kazi
 
hiyo ni asili ya mtu na msimamo wa mtu. ni kweli najua kuna watu huwa wanakula hiyo hirizi, ila kuna wengine kama mimi, nimeumbwa hivyo, kutawala. hata nikienda kwa mkubwa namna gani huwa nikifika tu namtawala, naona kabisa ananiogopa, nina kautisho fulani hivi na sina hirizi ya simba wala uchafu wowote.
Niambukize huo utawala na miye
 
Magufuli alikuwa ni mtawala anayeogopwa sana. Ukiitwa ofisini kwake unapatwa na ubaridi yabisi hadi kwenye mifupa.

Watu wote tulimuogopa sana. Nchi nzima hakuna aliyeweza kumnyooshea kidole.

Wataalam wa mambo yasiyoonekana wanasema ili uweze kuwa na kaliba ile ni lazima uwe na hirizi ya Simba. Je, Rais wetu alikuwa na hiyo hirizi?

Ni kwa sababu walau alikuwa anafaya maamuzi
 
Wasukuma bwana, mnapenda kujionesha ni wababe [emoji23][emoji23][emoji23]
Hili liko wazi Mkuu, Kanda ya ziwa Haina uswahili ,hamna uswahili kabisaa .

Kwetu sisi, Nyeupe ni Nyeupe...Nyeusi ni nyeusi ,kujiamin, uthubutu ,Uwezo mkubwa wa Akili ,Hatuna Ubinafsi , tu wenye maono n.k !!.

Kwa mfano Mimi mwenyewe, Huwa nikiingia kwenye Ofisi za watu, Wewe Boss, utajikuta unanitetemekea Mimi, hili limekua linafanya nahudumiwa haraka haraka Kwa sababu uwepo wangu pale uwa kama Swala kamuona Simba .

Hata Kazini , wananiogopa japokua Nina mwili wa kawaidaaaa, ila wananiogopa mno Hawa waswahili.

Sisi tunapokutana wenyewe Kwa wenyewe, hapo ngoma ndio Inakua nzito.

Lkn unikutanishe na waswahili 🤣🤣
 
Sijui kuhusu swala la yeye kuvaa hirizi ila katika nchi hizi za KiAfrica ni ngumu sana kiongozi kwenye nyadhifa yoyote ya maana kujitanganisha na ushirikina.

Kanuni ni moja tu, wewe uliyepo kwenye hiyo nyadhifa usipokuwa mtu wa ndumba basi wanaokuzunguka watazitumia dhidi yako, kwasababu hapo ulipo hata wenzako wanapataka vilevile.

Maofisini mambo sio lelemama, na wanaotaka kuaminisha watu hapa kuwa mambo ni simple basi ni either wanaficha au ni waropokaji ambao hawajawahi kuwepo kwenye nyadhifa.
 
Hili liko wazi Mkuu, Kanda ya ziwa Haina uswahili ,hamna uswahili kabisaa .

Kwetu sisi, Nyeupe ni Nyeupe...Nyeusi ni nyeusi ,kujiamin, uthubutu ,Uwezo mkubwa wa Akili ,Hatuna Ubinafsi , tu wenye maono n.k !!.

Kwa mfano Mimi mwenyewe, Huwa nikiingia kwenye Ofisi za watu, Wewe Boss, utajikuta unanitetemekea Mimi, hili limekua linafanya nahudumiwa haraka haraka Kwa sababu uwepo wangu pale uwa kama Swala kamuona Simba .

Hata Kazini , wananiogopa japokua Nina mwili wa kawaidaaaa, ila wananiogopa mno Hawa waswahili.

Sisi tunapokutana wenyewe Kwa wenyewe, hapo ngoma ndio Inakua nzito.

Lkn unikutanishe na waswahili [emoji1787][emoji1787]
Unataka kusema wasukuma waliokuwepo enzi za utawala wa jiwe walikua wanamvimbia boss wao?

Mbona mimi sitokei kanda ya ziwa lakini najiamini balaa. Hiyo ni character ya mtu tu haihusiani na kabila.

Watu wa mara wanajulikana kwa ubabe lakini wakifika dar wanauza mayai.
 
Magufuli alikuwa ni mtawala anayeogopwa sana. Ukiitwa ofisini kwake unapatwa na ubaridi yabisi hadi kwenye mifupa.

Watu wote tulimuogopa sana. Nchi nzima hakuna aliyeweza kumnyooshea kidole.

Wataalam wa mambo yasiyoonekana wanasema ili uweze kuwa na kaliba ile ni lazima uwe na hirizi ya Simba. Je, Rais wetu alikuwa na hiyo hirizi?

Hakuna kitu kama hicho. Mbona mimi nilifanya naye kazi kwa ukaribu sikuwa namwogopa kwa lolote lile. Hakuwa akitisha wala nini.
 
Magufuli alikuwa ni mtawala anayeogopwa sana. Ukiitwa ofisini kwake unapatwa na ubaridi yabisi hadi kwenye mifupa.

Watu wote tulimuogopa sana. Nchi nzima hakuna aliyeweza kumnyooshea kidole.

Wataalam wa mambo yasiyoonekana wanasema ili uweze kuwa na kaliba ile ni lazima uwe na hirizi ya Simba. Je, Rais wetu alikuwa na hiyo hirizi?

Sio watu wote walimuogopa, sema nyie watu wa kujipendekeza ndio mlimuogopa. Sisi wengine tulimchukia wazi wazi na wala sio kumuogopa.
 
Hakuna katili amabaye hajawahi kutoogopwa

Nkurunziza
M7
Kagame
Magufuli....
 
Back
Top Bottom