Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Huwa hakuna kibaka smart kama mimiHawakujua we ni kibaka mwenzao
Kibaka smart gani unakamatwa kirahisi hivyohuwa hakuna kibaka smart kama mimi
Great Mkuu....Naweza kufananisha hiyo sixth sense na intuition au some psych power. Kila mtu anayo Ila issue ni kuwa aware nayo na ku develop.
Nina ushahidi wa mtu mmoja nafikiri yupo kitengo hapa nchini but sijui upande gani…..
Huyu I think alikuwa trained tangu primary school hadi anamaliza Chuo. Ame develop Hii psych power mpaka huwa siwi comfortable kukaa naye. Kwa lug
Yaani wewe jasusi mbobezi kutoka hapo NISS unataka kuniangusha kwa swali rahisi hivyo? Acha unaa kacheroNimekuwa nikisikia sehemu mbalimbali ( hasa hasa hapa nchini Herzegovina ) yalipo Makazi yangu Siku zote kuwa licha ya Wanadamu wote kuwa na Five ( 5 ) Senses, ila kwa wale Majasusi ( Manjagu ) wao wanatakiwa kuwa na ya Sita ( 6 ) pia.
Watakuwa wanaishia kutabasamu....kumekucha Jf kuzungumzia secret service za watu[emoji23][emoji23] wenyewe wanatuchora
Hahaha Mkuu ..unanijuwa mimi nani ..show zao barNi karama kama karama nyingine kama umesoma kitabu ama umetazama filamu ya Red sparrow utakubaliana na mimi.
Ila kwa Tanzania yetu maafisa wengi wa usalama ni vilaza na hawashirikishi akili zao vyema katika maamuzi kuanzia spymaster wao and et al wote hakuna kitu kidogo Enzi za Marehemu Apson na Emilio Mzena vijana walikuwa wako fit sio hawa walevi na wapenda malaya.
Wanajiuliza hawa wapuuzi wanaongea nini[emoji2][emoji2][emoji2]Watakuwa wanaishia kutabasamu....
Ukijifanya hajj manara kuwaongelea wakati hujui chochote ni sawa na kurusha ngumi hewani......Wanajiuliza hawa wapuuzi wanaongea nini[emoji2][emoji2][emoji2]
Sent
Hakuna a biologica sixth sense kwa maana ya maumbile.Nimekuwa nikisikia sehemu mbalimbali (hasa hasa hapa nchini Herzegovina) yalipo Makazi yangu Siku zote kuwa licha ya Wanadamu wote kuwa na Five ( 5 ) Senses, ila kwa wale Majasusi (Manjagu) wao wanatakiwa kuwa na ya Sita (6) pia.
Je, hii ( hiyo ) Sixth ( 6 ) Sense anayotakiwa hasa kuwa nayo Jasusi (Ngagu) hasa wa CIA na MOSSAD ni ipi?
Na kwanini huko CIA na MOSSAD hata kama ukiwa Umefuzu Mafunzo yote ya Kimedani (Kijeshi) ila ukiwa huna hii (hiyo) Sixth (6) Sense huwezi kuwa katika hayo Mashirika yao ya Ujasusi?
Mwisho ni Swali tu je, katika Mashirika mengine ya Kijasusi (Kinjagu) duniani kote nao Watendaji wao wanayo hii Sixth (6) Sense ambayo inawafanya wawe 'Competent' kama hawa wa CIA na MOSSAD?
Na je, huwa inakuwa ni ya Kuzaliwa nayo au labda ni ya Kufundishwa tu huko Vyuoni Kwao nchini Marekani na Israel?
Nasubiri kwa hamu tu 'Utaalamu' wenu.
wewe bwege unajua kesi nilizokuwa nazo! Hizo alizopewa mbowe ni cha mtotoKibaka smart gani unakamatwa kirahisi hivyo
Wacha wee nasikia ndio ulilipua ubalozi wa marekaniwewe bwege unajua kesi nilizokuwa nazo! Hizo alizopewa mbowe ni cha mtoto
Mimi Kama mimi nitawezaje kuipata io 6th sense!!??mkuuNaweza kufananisha hiyo sixth sense na intuition au some psych power. Kila mtu anayo Ila issue ni kuwa aware nayo na ku develop.
Nina ushahidi wa mtu mmoja nafikiri yupo kitengo hapa nchini but sijui upande gani…..
Huyu I think alikuwa trained tangu primary school hadi anamaliza Chuo. Ame develop Hii psych power mpaka huwa siwi comfortable kukaa naye. Kwa lugha ya kutofikiria vizuri tunaweza kumwita mchawi kabisa. Intuition yake ipo vizuri, kutaka kitu kitokee kama anavyotaka, kwenda sehemu bila kuonekana na mengine mengi.
But huwa haeleweki since primary nafikiri alianza kutengenezwa huko and now anafanya kazi ambayo haieleweki pia hata Kwa watu wa karibu.
Sasa sijui kuhusu walimu wake na wenzake wanaofanya nae kazi….
Ila Hii kitu ipo issue ni development tu
Thanks