MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Kazi yangu hasa katika Uzi wangu huu ni Kusoma Comments zenu na wala si Kuchangia chochote kile.
Karibuni tu wa Cameroon na Tanzania!!!!
Karibuni tu wa Cameroon na Tanzania!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo umeona mualiko aliopata mwenyekiti wa Yanga?mkutano kuhusu nini? Uthibitisho uko wapi kuonesha yupo kikaoni?View attachment 2108282
Mshaurini CEO Senzo apunguze Kunywa sana Wanzuki, Gongo na Mataputapu ya Tandale tafadhali kwani Wahuni sasa wanaweza kuamua Kumvunjia kabisa Mayai Viza ya Kibaiolojia.mkutano kuhusu nini? Uthibitisho uko wapi kuonesha yupo kikaoni?View attachment 2108282
Labda wa kwenda kunywa Gongo Keko.Hapo umeona mualiko aliopata mwenyekiti wa Yanga?
Una taka kutukanwa sasa.Senzo amesaidia Yanga kujenga kikosi imara, anaconnection kubwa sana Africa na anapata taarifa sahihi za wachezaji wazuri.....nyie CEO wenu kabla ya kuwa CEO alikuwa anafanya kazi timu gani na cheo gani?
Waarabu wa Pemba mnajuana kwa virembaMshaurini CEO Senzo apunguze Kunywa sana Wanzuki, Gongo na Mataputapu ya Tandale tafadhali kwani Wahuni sasa wanaweza kuamua Kumvunjia kabisa Mayai Viza ya Kibaiolojia.
Simba SC ikishiriki Super Cup Yanga SC mtashiriki nini? Halafu Rais wa CAF Tajiri wa Kizulu Patrice Motsepe anaipenda Simba SC ile mbaya na kila akihojiwa kama anaijua Yanga SC anasema ni Takataka gani hiyo Michezoni?
Senzo kujenga Yanga kwa wachezaji wa mafungu na mikopo kutoka Congo ndo ana Connection kubwa Afrika..!?Senzo amesaidia Yanga kujenga kikosi imara, anaconnection kubwa sana Africa na anapata taarifa sahihi za wachezaji wazuri.....nyie CEO wenu kabla ya kuwa CEO alikuwa anafanya kazi timu gani na cheo gani?
Duh.. takataka tena. Uwasamehe mkuuMshaurini CEO Senzo apunguze Kunywa sana Wanzuki, Gongo na Mataputapu ya Tandale tafadhali kwani Wahuni sasa wanaweza kuamua Kumvunjia kabisa Mayai Viza ya Kibaiolojia.
Simba SC ikishiriki Super Cup Yanga SC mtashiriki nini? Halafu Rais wa CAF Tajiri wa Kizulu Patrice Motsepe anaipenda Simba SC ile mbaya na kila akihojiwa kama anaijua Yanga SC anasema ni Takataka gani hiyo Michezoni?
6. Soko kwa wachezaji..Miquissone & Chama, zaidi ya bilioni 1 kwa Simba SC.
Chama na Miqsone waliletwa na nani? Hio robo finally nani kaanza kuifikisha Simba kama sio SenzoSenzo kujenga Yanga kwa wachezaji wa mafungu na mikopo kutoka Congo ndo ana Connection kubwa Afrika..!?
CEO Barbra wa Simba SC.
1. Ubingwa Ligi Kuu.
2. Ubingwa wa FA
3. Ubingwa wa kombe la Mapinduzi
4. Robo fainali CAFCL
5. Kutinga hatua ya makundi CAFCC
6. Soko kwa wachezaji..Miquissone & Chama, zaidi ya bilioni 1 kwa Simba SC.
kweli vyura hamnazo kichwani.. eti ana conection kubwa Africa wakati wachezaji wote mnawachukua lubumbashi zaire hapo..Senzo amesaidia Yanga kujenga kikosi imara, anaconnection kubwa sana Africa na anapata taarifa sahihi za wachezaji wazuri.....nyie CEO wenu kabla ya kuwa CEO alikuwa anafanya kazi timu gani na cheo gani?
Achana na kenge asiejishughulisha kutafuta taarifa yeye kazi yake ni kurukia rukia habari ambazo ata ajui chanzo chakemkutano kuhusu nini? Uthibitisho uko wapi kuonesha yupo kikaoni?View attachment 2108282
Kweli na ndio maana mmemchukua Pablo kutoka Real Madrid, mpo vizuri kwenye level hizo.Kazi yangu hasa katika Uzi wangu huu ni Kusoma Comments zenu na wala si Kuchangia chochote kile.
Karibuni tu wa Cameroon na Tanzania!!!!
Mkuu Yanga, anaongoza kwa Points saba 7 na sio kumi.Sio Fair Kabisa.
Maana hata kwenye Msimamo wa Ligi Yanga SC kuobgoza kwa tofauti ya Alama 10 nayo sio Fair.
Hata hao hao Yanga SC kuongoza kwa idadi nyingi ya mataji ya ligi kuu (27) sio Fair kabisa.
Kupanga ni kuchagua.
Kwani mchezaji kucheza Zaire inamaanisha sio mchezaji mzuri?.....na hao wachezaji wanaotoka Zaire wamewapiga community shield na mpaka sahizi wamewapita point 7kweli vyura hamnazo kichwani.. eti ana conection kubwa Africa wakati wachezaji wote mnawachukua lubumbashi zaire hapo..
Hao ndo utopolo [emoji28]kweli vyura hamnazo kichwani.. eti ana conection kubwa Africa wakati wachezaji wote mnawachukua lubumbashi zaire hapo..
Concentrate on your own things.Kazi yangu hasa katika Uzi wangu huu ni Kusoma Comments zenu na wala si Kuchangia chochote kile.
Karibuni tu wa Cameroon na Tanzania!!!!