Je, hii Fair CEO wa Simba SC Barbara yuko Mkutanoni CAF nchini Cameroon na CEO Senzo wa Yanga SC akiwa Vibanda vya Wanzuki na Gongo Tandale Tanzania?

Sio Fair Kabisa.

Maana hata kwenye Msimamo wa Ligi Yanga SC kuobgoza kwa tofauti ya Alama 10 nayo sio Fair.

Hata hao hao Yanga SC kuongoza kwa idadi nyingi ya mataji ya ligi kuu (27) sio Fair kabisa.

Kupanga ni kuchagua.
 
mkutano kuhusu nini? Uthibitisho uko wapi kuonesha yupo kikaoni?
IMG_20220204_234534.jpg
 
Senzo amesaidia Yanga kujenga kikosi imara, anaconnection kubwa sana Africa na anapata taarifa sahihi za wachezaji wazuri.....nyie CEO wenu kabla ya kuwa CEO alikuwa anafanya kazi timu gani na cheo gani?
 
mkutano kuhusu nini? Uthibitisho uko wapi kuonesha yupo kikaoni?View attachment 2108282
Mshaurini CEO Senzo apunguze Kunywa sana Wanzuki, Gongo na Mataputapu ya Tandale tafadhali kwani Wahuni sasa wanaweza kuamua Kumvunjia kabisa Mayai Viza ya Kibaiolojia.

Simba SC ikishiriki Super Cup Yanga SC mtashiriki nini? Halafu Rais wa CAF Tajiri wa Kizulu Patrice Motsepe anaipenda Simba SC ile mbaya na kila akihojiwa kama anaijua Yanga SC anasema ni Takataka gani hiyo Michezoni?
 
Senzo amesaidia Yanga kujenga kikosi imara, anaconnection kubwa sana Africa na anapata taarifa sahihi za wachezaji wazuri.....nyie CEO wenu kabla ya kuwa CEO alikuwa anafanya kazi timu gani na cheo gani?
Una taka kutukanwa sasa.
20220126_191649.jpg
 
Mshaurini CEO Senzo apunguze Kunywa sana Wanzuki, Gongo na Mataputapu ya Tandale tafadhali kwani Wahuni sasa wanaweza kuamua Kumvunjia kabisa Mayai Viza ya Kibaiolojia.

Simba SC ikishiriki Super Cup Yanga SC mtashiriki nini? Halafu Rais wa CAF Tajiri wa Kizulu Patrice Motsepe anaipenda Simba SC ile mbaya na kila akihojiwa kama anaijua Yanga SC anasema ni Takataka gani hiyo Michezoni?
Waarabu wa Pemba mnajuana kwa viremba
 
Senzo amesaidia Yanga kujenga kikosi imara, anaconnection kubwa sana Africa na anapata taarifa sahihi za wachezaji wazuri.....nyie CEO wenu kabla ya kuwa CEO alikuwa anafanya kazi timu gani na cheo gani?
Senzo kujenga Yanga kwa wachezaji wa mafungu na mikopo kutoka Congo ndo ana Connection kubwa Afrika..!?

CEO Barbra wa Simba SC.

1. Ubingwa Ligi Kuu.
2. Ubingwa wa FA
3. Ubingwa wa kombe la Mapinduzi
4. Robo fainali CAFCL
5. Kutinga hatua ya makundi CAFCC

6. Soko kwa wachezaji..Miquissone & Chama, zaidi ya bilioni 1 kwa Simba SC.
 
Duh.. takataka tena. Uwasamehe mkuu
 
Senzo kujenga Yanga kwa wachezaji wa mafungu na mikopo kutoka Congo ndo ana Connection kubwa Afrika..!?

CEO Barbra wa Simba SC.

1. Ubingwa Ligi Kuu.
2. Ubingwa wa FA
3. Ubingwa wa kombe la Mapinduzi
4. Robo fainali CAFCL
5. Kutinga hatua ya makundi CAFCC

6. Soko kwa wachezaji..Miquissone & Chama, zaidi ya bilioni 1 kwa Simba SC.
Chama na Miqsone waliletwa na nani? Hio robo finally nani kaanza kuifikisha Simba kama sio Senzo
 
Senzo amesaidia Yanga kujenga kikosi imara, anaconnection kubwa sana Africa na anapata taarifa sahihi za wachezaji wazuri.....nyie CEO wenu kabla ya kuwa CEO alikuwa anafanya kazi timu gani na cheo gani?
kweli vyura hamnazo kichwani.. eti ana conection kubwa Africa wakati wachezaji wote mnawachukua lubumbashi zaire hapo..
 
Sio Fair Kabisa.

Maana hata kwenye Msimamo wa Ligi Yanga SC kuobgoza kwa tofauti ya Alama 10 nayo sio Fair.

Hata hao hao Yanga SC kuongoza kwa idadi nyingi ya mataji ya ligi kuu (27) sio Fair kabisa.

Kupanga ni kuchagua.
Mkuu Yanga, anaongoza kwa Points saba 7 na sio kumi.
 
kweli vyura hamnazo kichwani.. eti ana conection kubwa Africa wakati wachezaji wote mnawachukua lubumbashi zaire hapo..
Kwani mchezaji kucheza Zaire inamaanisha sio mchezaji mzuri?.....na hao wachezaji wanaotoka Zaire wamewapiga community shield na mpaka sahizi wamewapita point 7
 
Back
Top Bottom