Beki tatu wa mwamedi.Senzo amesaidia Yanga kujenga kikosi imara, anaconnection kubwa sana Africa na anapata taarifa sahihi za wachezaji wazuri.....nyie CEO wenu kabla ya kuwa CEO alikuwa anafanya kazi timu gani na cheo gani?
Libumbashi Zaire sio Africakweli vyura hamnazo kichwani.. eti ana conection kubwa Africa wakati wachezaji wote mnawachukua lubumbashi zaire hapo..
umeumia sanaHizo Bilion 1 zimeingia kwenye Account ya Simba SC au kwenye Bajeti ya kupalilia mashamba ya chai ya MeTL kule Rungwe?
pesa alitoa yeye?Chama na Miqsone waliletwa na nani? Hio robo finally nani kaanza kuifikisha Simba kama sio Senzo
Hao wamealikwa Fainalimkutano kuhusu nini? Uthibitisho uko wapi kuonesha yupo kikaoni?View attachment 2108282
Aliotoa Barbarapesa alitoa yeye?
Nenda kawachukue kama ni rahisi Aucho huyo apo aliwatoa jashokweli vyura hamnazo kichwani.. eti ana conection kubwa Africa wakati wachezaji wote mnawachukua lubumbashi zaire hapo..
haya kabweke jangwani kama kawaida yakoAliotoa Barbara
Sawa Barbara wa connectionhaya kabweke jangwani kama kawaida yako
Huyo wa Yanga atafahamika katika tasnia ya mpira kupitia mechi zipi? Akitoa kichwa tu round ya kwanza kagongwaKazi yangu hasa katika Uzi wangu huu ni Kusoma Comments zenu na wala si Kuchangia chochote kile.
Karibuni tu wa Cameroon na Tanzania!!!!
Hivi vichwa vya Yanga nadhani vimetolewa ubongo vikawekewa kamasi[emoji23][emoji23][emoji23]Senzo amesaidia Yanga kujenga kikosi imara, anaconnection kubwa sana Africa na anapata taarifa sahihi za wachezaji wazuri.....nyie CEO wenu kabla ya kuwa CEO alikuwa anafanya kazi timu gani na cheo gani?