Je, hii Fair CEO wa Simba SC Barbara yuko Mkutanoni CAF nchini Cameroon na CEO Senzo wa Yanga SC akiwa Vibanda vya Wanzuki na Gongo Tandale Tanzania?

Je, hii Fair CEO wa Simba SC Barbara yuko Mkutanoni CAF nchini Cameroon na CEO Senzo wa Yanga SC akiwa Vibanda vya Wanzuki na Gongo Tandale Tanzania?

Mkuu,

Leo Yaunde watakuja watu mashuhuri,Kwahiyo baada ya mechi ya kesho ya fainali wageni watalazimika na kulala walimbwende kutoka nchi tofauti tofauti.
 
Hizo Bilion 1 zimeingia kwenye Account ya Simba SC au kwenye Bajeti ya kupalilia mashamba ya chai ya MeTL kule Rungwe?
umeumia sana
vipi pesa ya mukoko imeongezea mtaji wa kuuza magodoro au itafanya ukarabati wa mabwawa ya kufugia vyura
 
Kazi yangu hasa katika Uzi wangu huu ni Kusoma Comments zenu na wala si Kuchangia chochote kile.

Karibuni tu wa Cameroon na Tanzania!!!!
Huyo wa Yanga atafahamika katika tasnia ya mpira kupitia mechi zipi? Akitoa kichwa tu round ya kwanza kagongwa

Kumbuka simba kacheza na club zote kubwa za Afrika tena kwa mafanikio. Ndiyo maana hata viongozi wake wanafahamika Afrika.
 
Senzo amesaidia Yanga kujenga kikosi imara, anaconnection kubwa sana Africa na anapata taarifa sahihi za wachezaji wazuri.....nyie CEO wenu kabla ya kuwa CEO alikuwa anafanya kazi timu gani na cheo gani?
Hivi vichwa vya Yanga nadhani vimetolewa ubongo vikawekewa kamasi[emoji23][emoji23][emoji23]

Kinachozungumziwa ni CEO wa simba kuhudhulia mkutano lakini chenyewe kinazungumzia usajili
 
Back
Top Bottom