Je, hii gari unaizungumziaje ukilinganisha na Vanguard ama Harrier?

screpa

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Posts
10,857
Reaction score
15,866
Nimekutana na hii gari mtandaoni bei mil 37, nimeipenda kwa muonekano, kwa mwenye uzoefu wa hii gari naomba aichambue kidogo. Inaitwa Toyota Hilux Surf, wasiwasi wangu ni mbona sizioni sana barabarani.

Screenshot_20230411-085817_Instagram.jpg
 
Nje ya mada.

Kwa gari zenye muundo wa juu (SUV) ni ipi yenye unafuu kwenye fuel consumption?

Kwa mfano kati ya Harrier, Vanguard, RV4 (latest models), Suzuki (grand), Mistubish outlander, Rush, Surf etc. ipi kwenye mafuta ina unafuu?
 
Nimekutana na hii gari mtandaoni bei mil 37, nimeipenda kwa muonekano, kwa mwenye uzoefu wa hii gari naomba aichambue kidogo. Inaitwa Toyota Hilux Surf, wasiwasi wangu ni mbona sizioni sana barabarani.

View attachment 2584076

Kwenye upande wa engine zinashare na prado na baadhi ya fortuner so haziwezi kusumbua
 
Nimekutana na hii gari mtandaoni bei mil 37, nimeipenda kwa muonekano, kwa mwenye uzoefu wa hii gari naomba aichambue kidogo. Inaitwa Toyota Hilux Surf, wasiwasi wangu ni mbona sizioni sana barabarani.

View attachment 2584076
Surf ni gari yenye historia nzuri sana..Hii ni T/Hilux pickup iliyofunikwa.. zaidi ya shida kupasuka dashboard kama tako la nyani sidhani kama ina tatizo lingine. Hizi zina ingine ya petrol- 2TR..Toleo hili nadhani hawakutoa ya diesel.
 
Zipo za diesel na 1TR lakini si soko la Asia, nadhani zilienda ulaya
 
Surf ni gari yenye historia nzuri sana..Hii ni T/Hilux pickup iliyofunikwa.. zaidi ya shida kupasuka dashboard kama tako la nyani sidhani kama ina tatizo lingine. Hizi zina ingine ya petrol- 2TR..Toleo hili nadhani hawakutoa ya diesel.
Niliongea na sista kanikata mzuka, eti anasema gari ya zamani sana hiyo brother na huwa ina changamoto ya kuoza bodi[emoji56]
 
Inategemea zamani kwake ni lini na iwezo wake wa kununua gari sa miaka ya karibuni, kwa wengine 2006-2010 bado si zamani sana na pia gharama za kununua gari zinakuwa si kubwa sana. Gusa prado ya kuanzia 2013 na compare na bei ya hiyo gari
Namaanisha za 2006 ndio new model?
 
Back
Top Bottom