Je, hii gari unaizungumziaje ukilinganisha na Vanguard ama Harrier?

Je, hii gari unaizungumziaje ukilinganisha na Vanguard ama Harrier?

Haukuwa na interest nayo ndo maana hukuweza kuziona mabarabarani ila zipi nyingi sana mitaani
Sasa nakubali ulivyosema kwamba sikuwa interested nazo, kwa sasa nikikatiza town nazionaona japo si mara nyingi
 
Nje ya mada.

Kwa gari zenye muundo wa juu (SUV) ni ipi yenye unafuu kwenye fuel consumption?

Kwa mfano kati ya Harrier, Vanguard, RV4 (latest models), Suzuki (grand), Mistubish outlander, Rush, Surf etc. ipi kwenye mafuta ina unafuu?
suzuki vitara
 
IMG_8280.jpeg
 
Nje ya mada.

Kwa gari zenye muundo wa juu (SUV) ni ipi yenye unafuu kwenye fuel consumption?

Kwa mfano kati ya Harrier, Vanguard, RV4 (latest models), Suzuki (grand), Mistubish outlander, Rush, Surf etc. ipi kwenye mafuta ina unafuu?
SUV bado unawaza fuel consumption?
 
Gari ngumu sana hasa off road. Ina share engine ya 2tr na prado diamond
 
🤣🤣🤣 ila tz bhn, gari y 2006 ndo new model….

Ccm imetulemaza sn
Naelewa unachosema ila kwa Surf nadhani hii ndo newest model. Sidhani kama waliendelea kutoa Surf baada ya hii
Soko la marekani bado wanaendelea na 4runner
 
Umeongea kienyeji sana.

Kama unaijua hiyo skyactive technology si ungeisema umsaidie huyo uliemuuliza hilo swali.?
Hao ndio waswahili mkuu,hapo unakuta hata Pikipiki ya TVS Hana ila maneno mengi🤣
 
Back
Top Bottom