Namaanisha za 2006 ndio new model?
suzuki vitaraNje ya mada.
Kwa gari zenye muundo wa juu (SUV) ni ipi yenye unafuu kwenye fuel consumption?
Kwa mfano kati ya Harrier, Vanguard, RV4 (latest models), Suzuki (grand), Mistubish outlander, Rush, Surf etc. ipi kwenye mafuta ina unafuu?
SUV bado unawaza fuel consumption?Nje ya mada.
Kwa gari zenye muundo wa juu (SUV) ni ipi yenye unafuu kwenye fuel consumption?
Kwa mfano kati ya Harrier, Vanguard, RV4 (latest models), Suzuki (grand), Mistubish outlander, Rush, Surf etc. ipi kwenye mafuta ina unafuu?
🤣🤣🤣 ila tz bhn, gari y 2006 ndo new model….This is This is new model
Naelewa unachosema ila kwa Surf nadhani hii ndo newest model. Sidhani kama waliendelea kutoa Surf baada ya hii🤣🤣🤣 ila tz bhn, gari y 2006 ndo new model….
Ccm imetulemaza sn
Hao ndio waswahili mkuu,hapo unakuta hata Pikipiki ya TVS Hana ila maneno mengi🤣Umeongea kienyeji sana.
Kama unaijua hiyo skyactive technology si ungeisema umsaidie huyo uliemuuliza hilo swali.?