MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Haina tija, maana hivi vituo vinatakiwa vizalishe vijana wapya kwenye hii tasnia, haiwezekani kuendelea kununuanunua hawa wakongwe bila kuwa na success plan nzuri kwa badae!wanatakiwa wagroom vijana wengine wenye vipaji etc!Swali sasa ni je hawa wakongwe wanawapa nafasi vijana wachanga ya kukua?maana hawa malegend ndo wanatakiwa kuwa walimu wa watangazaji wachanga! i remember RTD those daysEFM to Wasafi FM mara Wasafi FM to EFM mara tena EFM to Wasafi FM kulikoni?
Maulid Kitenge tafuta Mfadhili mkubwa ufungue Media yako Kubwa hii hama hama inashusha Value yako kwani ni kama Mwanamke asiyetulia na Ndoa yake au na Bwana / Mume Mmoja aliye sahihi.
KirakaEFM to Wasafi FM mara Wasafi FM to EFM mara tena EFM to Wasafi FM kulikoni?
Maulid Kitenge tafuta Mfadhili mkubwa ufungue Media yako Kubwa hii hama hama inashusha Value yako kwani ni kama Mwanamke asiyetulia na Ndoa yake au na Bwana / Mume Mmoja aliye sahihi.
Ni Genius kama Wewe tu hapa duniani ndiyo wanaandika hivi baada ya Kunielewa. Heko sana.Yule ni mtangazaji mkubwa na maarufu anashindwa nini kuanzisha redio yake? Au aende kwenye media kubwa za kimataifa au hata za ndani akatulie huko. Kama vipi arudi redio one au amfuate mwenzake katanga uhai fm. Mwisho wa siku atazeekea kwenye kutangatanga redioni kila mara
He is looking for green pastures....Hana pesa za kufungulia station yakeYule ni mtangazaji mkubwa na maarufu anashindwa nini kuanzisha redio yake? Au aende kwenye media kubwa za kimataifa au hata za ndani akatulie huko. Kama vipi arudi redio one au amfuate mwenzake katanga uhai fm. Mwisho wa siku atazeekea kwenye kutangatanga redioni kila mara
Kama hana Pesa Basi aache Shobo.He is looking for green pastures....Hana pesa za kufungulia station yake
Ana watoto wanatakiwa kureport maliwato kila siku mkuuKama hana Pesa Basi aache Shobo.
Nyie mnahangaika kumuwaza ila yeye hana habari anapiga pesa zake wanazompandia dau bila kutegemea NGO's za mareekani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]EFM to Wasafi FM mara Wasafi FM to EFM mara tena EFM to Wasafi FM kulikoni?
Maulid Kitenge tafuta Mfadhili mkubwa ufungue Media yako Kubwa hii hama hama inashusha Value yako kwani ni kama Mwanamke asiyetulia na Ndoa yake au na Bwana / Mume Mmoja aliye sahihi.