MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
Aksante The Boss, what if mmekaa muda ambao unahisi unatosha kwa kumove to the next step?! Mara nyingi hii hutokea mnapokuwa mmekaa kwa muda kiasiit simply means 'sijakupenda kihivyo so taratibu aisee usinipelekeshe puta'....
Aksante The Boss, what if mmekaa muda ambao unahisi unatosha kwa kumove to the next step?! Mara nyingi hii hutokea mnapokuwa mmekaa kwa muda kiasi
Wapendwa ni matumaini yangu kuwa mu wazima. Nimewamiss sana.
Najiuliza pale unapokuwa mmekubaliana kupendana, halafu mpenzio anapoamua kuitumia sentensi ya .... Unajua nilishaumizwa sana, so najihami kwa kutokurupukia mahusiano ya kudumu.
Hii huwa ina ujumbe gani? Hivi kweli kama kweli unampenda mpenzio utakuwa na muda wa ku-worry na kuamua kujiprotect from love hurting?
Ni kweli kongosho but naamini kuna muda na muda au? Maana kama ndo kaingia na gear hii aweza tumia ages kutumia sentensi yake kwa kuogopa kumilikishwayes, lazima ujihami, kuna soul traders
Ni kweli kongosho but naamini kuna muda na muda au? Maana kama ndo kaingia na gear hii aweza tumia ages kutumia sentensi yake kwa kuogopa kumilikishwa
Wapendwa ni matumaini yangu kuwa mu wazima. Nimewamiss sana.
Najiuliza pale unapokuwa mmekubaliana kupendana, halafu mpenzio anapoamua kuitumia sentensi ya .... Unajua nilishaumizwa sana, so najihami kwa kutokurupukia mahusiano ya kudumu.
Hii huwa ina ujumbe gani? Hivi kweli kama kweli unampenda mpenzio utakuwa na muda wa ku-worry na kuamua kujiprotect from love hurting?
Wala sio hivo. Hii ni case ya mtu amekaa nyumba ya kupanga, but akilini mwake anaweka hela ili kesho anunue nyumba. Na wewe ndio nyumba ya kupanga sasa. Hata kupaka rangi na kazi ndogo ndogo za ukarabati anasema what for, sio kwangu hapa.mkitazama mapenzi 'in bussiness mind' hutapata tabu ya kuwaelewa watu......
mfano ni huu.....
wewe unatafuta nyumba na bajeti yako ni milioni 25,nyumba ya kununua.....
ukipata nyumba ambayo unaona 'thamani yake ni zaidi ya milioni 25' inauzwa kwa milioni 25 au chini
obviously 'utanunua mara moja'.....
but ukiona mtu anasema 'subiri kwanza' maana yake anategemea
kuna nyingine 'better' itajitokeza kwa hiyo wewe umewekwa 'pending' labda isitokee nyingine...
get it?
Wala sio hivo. Hii ni case ya mtu amekaa nyumba ya kupanga, but akilini mwake anaweka hela ili kesho anunue nyumba. Na wewe ndio nyumba ya kupanga sasa. Hata kupaka rangi na kazi ndogo ndogo za ukarabati anasema what for, sio kwangu hapa.
Si hivo Alter, Hapa tunaongelea couple imesha kwaa kwa muda na mmoja anaona it is time to move to the next level, mwenzie anamwambia hawezi kurupukia mahusiano ya kudumu. Unaona hapo?The great part kuhusi hilo ni walau S/he is telling you the truth na NO empty promises, sema tu watu twapenda jisikia we are the center ya maisha ya mtu alo mpenzi wako; hoping akuambie maneno kama "bila wewe hawezi ishi...." hata kama sio kweli...