MAMMAMIA
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 3,811
- 1,607
Hii ndio nilikuwa nafikiri. Kwa nini achukue muda wote huo kulisema hilo, asiseme tangu dakika za mwanzo na yule mwengine akaelewa angalau akae mkao gani.Si hivo Alter, Hapa tunaongelea couple imesha kwaa kwa muda na mmoja anaona it is time to move to the next level, mwenzie anamwambia hawezi kurupukia mahusiano ya kudumu. Unaona hapo?
Anyway, better late than ever! Salama hakutamka hivyo baada ya kuzaliwa mtoto mmoja.