Je hii inawezakana kwetu? - wanadumisha mila!

Je hii inawezakana kwetu? - wanadumisha mila!

Orkesumet

Member
Joined
Jan 11, 2008
Posts
76
Reaction score
3
Kabila la lozi ni miongoni mwa makabila duniani yanayodumisha tamaduni zao na sherehe ya "kuomboka" imekuwa ni kivutio kikubwa na imevutia siyo tu watalii wa ndani na nje nchi pia na makampuni katika nyanja ya udhamini.

Watu mashuhuri walihudhuria katika hafla hii akiwa Rupia Banda (alitinga sketi - vazi la utamaduni), pia waziri wa fedha alikuwa miongoni mwa wapiga makasia wa chifu limulunga!

Je hii inawezekana kwetu?
 

Attachments

  • from the post.jpg
    from the post.jpg
    3.8 KB · Views: 217
Kwenu ni Mkowa gani na Kabila yako ni kabila gani? hapo tutaweza kujibui swali lako kama kwenu inawezekana au laaa.
 
Back
Top Bottom