Je, hii katuni ina ujumbe wa ukweli?

Huku mtaani hata wasio jua kusoma wana uliza ukomo wa mkataba ,wewe unaishi wapi ?
Watauliza je ukomo wa mkataba wakati mikitaba haijasainiwa au wanauliza ukomo wa ushilikiano kati ya Tanzania na dp world ambao tayari .bunge imesha pitisha.
 


Kiuhalisia, hii ni Propaganda ya Kudai, Ushauri, Wasiwasi, Uwoga, na sintofahamu zilizopo....hazina Uhalali.

Kifupi, haisaidii Serikali katika kutoa Elimu au kusimamia hoja yao ya Kwanini wameingia mkataba huu kinyemela nyemela. Kwanini mkataba una vipengele vinavyoeleweka lakini tunaambiwa hatuvielewi wakati ni dhahiri vina hatarisha Usalama wa Taifa letu, yaani our Sovereign powers. Itoshe kusema, ujumbe uliopo kwenye katuni, ni matusi kwa Watanzania wenye akili zao. Its an Insult to Tanzanians Intelligence and Psyche!
 
Wanao pinga mkataba wa bandari wengi hawana sababu za msingi ni ushabiki tu huenda na ubaguzi na udini ila hoja hazina msingi.
nyie makuwadi ya dpworld mnajua mkataba unavipengere vipi vya maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…