Je, hii katuni ina ujumbe wa ukweli?

Wanao pinga mkataba wa bandari wengi hawana sababu za msingi ni ushabiki tu huenda na ubaguzi na udini ila hoja hazina msingi.
Hapa dini inaingiaje wewe bwege? Escrow, net solution, Richmond nk zilipingwa pia Kwa sababu ya dini Gani? Acha ujinga wa kuchanganya watu. Bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere na sehemu kubwa ya ujenzi wa SGR unafanywa na Waturuki ambao ni dini ipi?
 
Wanao pinga mkataba wa bandari wengi hawana sababu za msingi ni ushabiki tu huenda na ubaguzi na udini ila hoja hazina msingi.
Wanaopinga Wana sababu za msingi we kiazi wanaoshangilia ndo hawana za msingi zaidi ya udini na uchawa
 
Wanao pinga mkataba wa bandari wengi hawana sababu za msingi ni ushabiki tu huenda na ubaguzi na udini ila hoja hazina msingi.
Wanao support mkataba wanazo sababu zipi?
 
Katoka asubuhi hii kwenye mjengo, keshajazwa kasumba, hajui hata anachokidai, katoa maamuzi kama refa wa mechi ya simba
 
Hiyo ni katuni ya kishabiki, haitashangaza ukisikia mchoro huo umelipiwa milioni moja, pesa ya madafu.

Hawa watu wapo kazini kuinunua Tanzania katika vipande vipande.
 
Wanao pinga mkataba wa bandari wengi hawana sababu za msingi ni ushabiki tu huenda na ubaguzi na udini ila hoja hazina msingi.
Huo mkataba kuuita mkataba wa bandari ni kuupotosha umma. Bandari ni robo tu ya mkataba. Huo uitwe mkataba wa kuuza Tanganyika.
 
Wanao pinga mkataba wa bandari wengi hawana sababu za msingi ni ushabiki tu huenda na ubaguzi na udini ila hoja hazina msingi
Na wanaoukubali ni mazuzu tu hawajui ndani ya huo mkataba kuna nini
 
Wachina

TICTS

Wameumia sana kupokonywa tonge mdomoni
 
Ila kuupinga ni ujinga vilevile wakati ushapitishwa na Bunge
 
Hiyo ni katuni ya kishabiki, haitashangaza ukisikia mchoro huo umelipiwa milioni moja, pesa ya madafu.

Hawa watu wapo kazini kuinunua Tanzania katika vipande vipande.
Na wewe unaepinga umeingiziwa sh ngapi?!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…