Je hii ndio fasheni siku hizi ya Umri wa kuoana?

mbere

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
6,967
Reaction score
6,465
1. Diamond 27 Zarina 35 difference 9 yrs.....

2. Wolper 29 Harmonize 23 difference 7 yrs....

3. Aunt Ezekiel 30 Mosez 23 also 7 yrs...

3. Aisha 28 Baraka da prince 23 variation 5yrs...

4. Shilole 29 Nedy Music 21...8 yrs....

6. Wema Sepetu 28 Idriss 23 whch s 5 yrs...
 
ww je na demu wko mmetofautiana miaka mingap? alafu tuweke age ya dada yako na mwanaume wake
kaka yako na demu wake
usisahau mama na baba
 
ww je na demu wko mmetofautiana miaka mingap? alafu tuweke age ya dada yako na mwanaume wake
kaka yako na demu wake
usisahau mama na baba
Jitambulishe kwanza wee ni timu
Wema au zari?
 
Hapo kwenye red hivi 29-23 jibu ni 7 ?? Vitu vingine kabla ya kuvicopy na kupaste uwe Unajiridhisha kwanza,sio kila ukiona kimeseji huko Wasap unakimbilia kukifungulia uzi JF,
 
Hapo kwenye red hivi 29-23 jibu ni 7 ?? Vitu vingine kabla ya kuvicopy na kupaste uwe Unajiridhisha kwanza,sio kila ukiona kimeseji huko Wasap unakimbilia kukifungulia uzi JF,
Ahsante kwa marekebisho
Ila swali lipo palepale
Na hayo marekebisho hayajabadili swali
 
Wanapenda seringeti boi coz watu wazima wezao si rahis kuwapata,stareh pia wanazipenza,tatu wanapenda kuwacontrol wao, la mwisho wanachezewa sana na wasomi ndio maana wa me opt dogo dogo afu vipanga hawana matangazo ni kimya kimya
Age differences sio ishu mpngo mzima ni pesa(besa), kwa wachaga tumepwa na mshangao lkn tunawaombea
 
umeona kuna sehemu wamebebewa kadi za clinic??? wangekuwa watoto wangekataa kwani wamelazimishwa kuwakubali na hao watoto wamekubali kubebemendwa
Timu zari huyu, mbona mkali hivyo!!!!!!
 
Umemsahau Vanesa mdee na Jux
Umemsahau Vanesa mdee na Jux
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…