rutabazi
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 497
- 293
Ndio ni vitoto aibu tupu paleumeona kuna sehemu wamebebewa kadi za clinic??? wangekuwa watoto wangekataa kwani wamelazimishwa kuwakubali na hao watoto wamekubali kubebemendwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio ni vitoto aibu tupu paleumeona kuna sehemu wamebebewa kadi za clinic??? wangekuwa watoto wangekataa kwani wamelazimishwa kuwakubali na hao watoto wamekubali kubebemendwa
If you are good enough, you are old enoughNdio ni vitoto aibu tupu pale
Unaenda lini JKTAhsante kwa marekebisho
Ila swali lipo palepale
Na hayo marekebisho hayajabadili swali
Au unasubir post za kwenda fom 5Dah! Haya bwana
Ukiona kijana mdogo kaoa mwanamke anayemzidi umri sababu hizi hapa ...1. Diamond 27 Zarina 35 difference 9 yrs.....
2. Wolper 29 Harmonize 23 difference 7 yrs....
3. Aunt Ezekiel 30 Mosez 23 also 7 yrs...
3. Aisha 28 Baraka da prince 23 variation 5yrs...
4. Shilole 29 Nedy Music 21...8 yrs....
6. Wema Sepetu 28 Idriss 23 whch s 5 yrs...
Mimi nina miaka 18 nakutaka dearso what?
hahahahahahaHapo kwenye red hivi 29-23 jibu ni 7 ?? Vitu vingine kabla ya kuvicopy na kupaste uwe Unajiridhisha kwanza,sio kila ukiona kimeseji huko Wasap unakimbilia kukifungulia uzi JF,
Hiz post za kitoto ndo msim wake huu shule zikifunga au mkimaliza mkienda shule huwez ona post ya kijinga kama hii hapa jamii forum tunawavumilia kwa kuwa ni wanetu na kitanda hakizai kharam nenden shule tupumueKwanini mkuu kwani SIYO SAWA?
wee ni timu diamond au mbona kama umekasidika?
Au ndo unaswaki umeamkia kwa mamy!!!.?.???
Endelea muvumilia basi mkuuHiz post za kitoto ndo msim wake huu shule zikifunga au mkimaliza mkienda shule huwez ona post ya kijinga kama hii hapa jamii forum tunawavumilia kwa kuwa ni wanetu na kitanda hakizai kharam nenden shule tupumue
Andika vizur ficha ujinga wako hata mm kijana wangu amerud jana kutoka njos high school wamefunga baada ya kumaliza mhura wa pili njoo mfanye discussion ila yy pcmEndelea muvumilia basi mkuu
Timu zari huyu, mbona mkali hivyo!!!!!!