Je hii ndio fasheni siku hizi ya Umri wa kuoana?

umeona kuna sehemu wamebebewa kadi za clinic??? wangekuwa watoto wangekataa kwani wamelazimishwa kuwakubali na hao watoto wamekubali kubebemendwa
Ndio ni vitoto aibu tupu pale
 
Au unasubir post za kwenda fom 5
Kwanini mkuu kwani SIYO SAWA?
wee ni timu diamond au mbona kama umekasidika?
Au ndo unaswaki umeamkia kwa mamy!!!.?.???
 
Ukiona kijana mdogo kaoa mwanamke anayemzidi umri sababu hizi hapa ...
1. Kijana anatafuta hifadhi tu sio upendo wa dhati.
2. Mwanamke anatafuta heshima kwani saizi yake wameishampotea .
 
Hapo kwenye red hivi 29-23 jibu ni 7 ?? Vitu vingine kabla ya kuvicopy na kupaste uwe Unajiridhisha kwanza,sio kila ukiona kimeseji huko Wasap unakimbilia kukifungulia uzi JF,
hahahahahaha
 
Kwanini mkuu kwani SIYO SAWA?
wee ni timu diamond au mbona kama umekasidika?
Au ndo unaswaki umeamkia kwa mamy!!!.?.???
Hiz post za kitoto ndo msim wake huu shule zikifunga au mkimaliza mkienda shule huwez ona post ya kijinga kama hii hapa jamii forum tunawavumilia kwa kuwa ni wanetu na kitanda hakizai kharam nenden shule tupumue
 
Endelea muvumilia basi mkuu
 
Umeitoa kwenye news za udaku eeh hapo hakuna hata mmoja mwenye ndoa wako kwenye mahusiano sasa kuuliza style ya kuoana ina maana ujui ndoa ni nini?
 
Umeitoa kwenye news za udaku eeh hapo hakuna hata mmoja mwenye ndoa wako kwenye mahusiano sasa kuuliza style ya kuoana ina maana ujui ndoa ni nini?
Ebu nidokeze mkuu
 
Endelea muvumilia basi mkuu
Andika vizur ficha ujinga wako hata mm kijana wangu amerud jana kutoka njos high school wamefunga baada ya kumaliza mhura wa pili njoo mfanye discussion ila yy pcm
Pengne utapunguza kupost ujinga
 
Andika vizur ficha ujinga wako hata mm kijana wangu amerud jana kutoka njos high school wamefunga baada ya kumaliza mhura wa pili njoo mfanye discussion ila yy pcm
Pengne utapunguza kupost ujinga
Mhura una kaa wapi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…