Je hii ndio fasheni siku hizi ya Umri wa kuoana?

Hawa wameoana au wanaishi kihuni?kioana maana yake nini kwa uelewa wako?
 
Bas tu 7bu mpenz wangu bi kidude hayupo cjui mngesemaje tena
 
Bas tu 7bu mpenz wangu bi kidude hayupo cjui mngesemaje tena
 
Ili mradi iingie tu sasa maana hakuna namna kwa kweli.
 

It means wakubwa siku hizi wamekuwa hamnazo
 
madogo wanajitahid kula vya wakubwa mana wakubwa nao wanakula vya watoto
 
Sooo,,,,,,,,
 
Age is just a number, mbona kuna mtu mmoja ana akili nyingi sana, leo ndio imefahamika kumbe wakati anazaliwa "mama" yake ndio kwanza alikuwa na miaka 5, hata shule alikuwa hajaanza!
 
Poa tu mbona mimi wife namzidi miaka 13 na iko kawaida tu
 
Andika vizur ficha ujinga wako hata mm kijana wangu amerud jana kutoka njos high school wamefunga baada ya kumaliza mhura wa pili njoo mfanye discussion ila yy pcm
Pengne utapunguza kupost ujinga

Mhura ndio nini mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…