Hii inaweza kuwa ni big RESET..Dar ni patamu sana
Mikoani napo ni patamu sana
Tanzania ni mbingu ndogo, nchi nzuri mno ukiwa na kazi ya kufanya na kipato cha kuridhisha. Ni siasa tu ndio zinaturudisha nyuma
Always kutakuwa na watu wanaopenda mikoani na wanaopenda Dar au Zanzibar, hao walioenda mikoani wanakaa siku chache, ni kama likizo tu. Ngumu kupoteza mapenzi yao kwa Dar kisa kujificha mikoani siku mbili tatu
Subiri utajionea mwenyewe, Dar itarudi kuwa vilevile
Umesema kweli. Mi Mafya sihami hata kwa mikwaju. Samaki bwerere, wali kg moja nazi 5. Dar ni ya kuwekeza na kufanya shopping tuDar ni patamu sana