Je, hii ni dalili ya ujauzito?

Je, hii ni dalili ya ujauzito?

kun wa bongo

Member
Joined
Jan 3, 2018
Posts
15
Reaction score
12
Nilitoka kusex na mke wangu mara baada ya kumaliza akaniambia anahisi tumboni mwake kama kuna tundu na maji yanaingia.

Je hii inaweza ikawa dalili moja wapo ya ujauzito?
 
Kaz ya shahawa n kwenda
Kutengeneza mimba
 
Back
Top Bottom