kun wa bongo
Member
- Jan 3, 2018
- 15
- 12
Nilitoka kusex na mke wangu mara baada ya kumaliza akaniambia anahisi tumboni mwake kama kuna tundu na maji yanaingia.
Je hii inaweza ikawa dalili moja wapo ya ujauzito?
Je hii inaweza ikawa dalili moja wapo ya ujauzito?