GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Akili yako ndogo sanaMchezaji wa Simba SC Mohammed Hussein Tshabalala hakika anajua sana 'Kuwakoga' Wachezaji wa Yanga SC akina Mayele na Morisson.
Yaani Mwenzao yuko Mapumzikoni nchini Dubai ( UAE ) na Mkewe na Mtoto wao lakini Wenzake akina Fiston Mayele na Bernard Morrison wa Yanga SC tunapishana nao Kariakoo na Tandale Vibanda vya 'Mishikaki' tena Wakiigombea na hata Kuikota chini ile ambayo huwaponyoka Midomoni mwao?
Je, hii ni Haki?
Nyie Kabwili ilikuwaje maana inaoneka unajua sanaMsifurahie mchezaji wenu anapokwenda mapumziko Dubai, unamjua anayemfadhili na unajua uyo aliye mfadhili analipwa Nini...
Yule nasikia alikua abaliwa, Tena yule mzee King Kubaden kaharibu Sana vijanaMsifurahie mchezaji wenu anapokwenda mapumziko Dubai, unamjua anayemfadhili na unajua uyo aliye mfadhili analipwa Nini?
Kipindi chanyuma kunamchezaji Anaitwa Tomas Karume aliwahi kuiaibisha klabu ya Simba kule gest Morogolo.
Mambo yalianza taratibu kama hivi.
Duh!makolo kazi wanayoMsifurahie mchezaji wenu anapokwenda mapumziko Dubai, unamjua anayemfadhili na unajua uyo aliye mfadhili analipwa Nini?
Kipindi chanyuma kunamchezaji Anaitwa Tomas Karume aliwahi kuiaibisha klabu ya Simba kule gest Morogolo.
Mambo yalianza taratibu kama hivi.
Chief unafatilia mpira wa Tanzani (Ligi kuu)? Unajua mishahara wanayolipwa wachezaji Simba na Yanga? Unajua bonus wanazolipwa?Kupatwa kwa '' MKE'' hapo sio yeye anaongozwa tuu. Fainali tutakutana uzeeni...ohhh timu niliyoichezea imenitelekeza,, ohhhh.....mashabiki na watanzania nilicheza timu ya taifa hawanichangii.... kana kwamba wakati unafanya kazi ulikuwa hulipwi mishahara... uliitumiaje isije ikawa lawama kwa wengine. Ujumbe huu uwafikie na wale wasanii wanaokimbilia uturuki eti kufanya upasuaji wa uzee. Uzee hauna breki ukija ni sawa na kifu hakizuiliki
Kama Kabwili wazee wa yanga walivyomharibuMsifurahie mchezaji wenu anapokwenda mapumziko Dubai, unamjua anayemfadhili na unajua uyo aliye mfadhili analipwa Nini?
Kipindi chanyuma kunamchezaji Anaitwa Tomas Karume aliwahi kuiaibisha klabu ya Simba kule gest Morogolo.
Mambo yalianza taratibu kama hivi.
Kama Kabwili mlivyomharibu nasikia Morison ndo alianza kumchokonoaYule naskia alikua abaliwa, Tena yule mzee King Kubaden kaharibu Sana vijana
Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
Kibaden a.k.a Mende.Yule naskia alikua abaliwa, Tena yule mzee King Kubaden kaharibu Sana vijana
Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
Na Kocha wa Makipa Raia wa Mombasa Kenya Razaq Siwa.Kama kabwili wazee wa yanga walivyomharibu
Boss mwenye timu hiyo ambaye ndiye anayewalipa mishahara yupo kwenye orodha ya matajiri bora wa Afrika lakini huwa hafanyi upuuzi kama huo .Ana nidhamu ya hela na nawaza uwekezaji zaidiChief unafatilia mpira wa Tanzani (Ligi kuu)? Unajua mishahara wanayolipwa wachezaji Simba na Yanga? Unajua bonus wanazolipwa?..
Kwa hili pambio nadhan katika watu waliombeba hersi na wewe ulikuwepoLeo nimemsikiliza huyu mgombea wa yanga jinsi kampun itakavokuwa baad ya yanga kuingia mfumo wa kisasa,, kwa mfano pale simba Mo alijipangia bei nakumbuka alitoa mpaka muda simba waamue kama hawataki hizo pesa pesa bilion 20 anaweza kununua Bank...
Vipi kama hao watu 4 tofauti wataamua kuuziana hisa zao na mwisho wa siku mmoja akawa na 49% yote?Leo nimemsikiliza huyu mgombea wa yanga jinsi kampun itakavokuwa baad ya yanga kuingia mfumo wa kisasa,, kwa mfano pale simba Mo alijipangia bei nakumbuka alitoa mpaka muda simba waamue kama hawataki hizo pesa pesa bilion 20 anaweza kununua Bank.
Yule muhindi ni tapeli, hebu soma jinsi yanga watakavoipata thaman halisi ya Club yao na uwekezaji utakavo kuwa.
“Asilimia 49 zimegawanywa kwa watu wanne tofauti ambao watakuwa na uwiano wa asilimia 12 kutoka taasisi au watu tofauti tofauti ambao vyanzo vya mapato hawashabiani kimapato kutakuwa na kampuni maalumu itakayofanya kazi ya kujua thamani ya klabu na wataweka wazi hadharani na mwenye uwezo wa kununua hisa atapata nafasi hiyo bila upendeleo wowote” - Injinia Hersi kuhusu uwekezaji ndani ya Yanga
Sisi mbumbumbu rage hakukosea kutubatiza hili jina,, leo hii mo anaweza kuamua kisusa tu na uwekezaji wake hewa na tutakarudi matopeni