Je, hii ni Fair Mohammed Hussein anakula zake 'Bata' Dubai akina Mayele na Morisson tunapishana nao Vibanda vya 'Mishikaki' Kariakoo Dar es Salaam

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Mchezaji wa Simba SC Mohammed Hussein Tshabalala hakika anajua sana 'Kuwakoga' Wachezaji wa Yanga SC akina Mayele na Morisson.

Yaani Mwenzao yuko Mapumzikoni nchini Dubai ( UAE ) na Mkewe na Mtoto wao lakini Wenzake akina Fiston Mayele na Bernard Morrison wa Yanga SC tunapishana nao Kariakoo na Tandale Vibanda vya 'Mishikaki' tena Wakiigombea na hata Kuikota chini ile ambayo huwaponyoka Midomoni mwao?

Je, hii ni Haki?
 
Msifurahie mchezaji wenu anapokwenda mapumziko Dubai, unamjua anayemfadhili na unajua uyo aliye mfadhili analipwa Nini?

Kipindi chanyuma kunamchezaji Anaitwa Tomas Karume aliwahi kuiaibisha klabu ya Simba kule gest Morogoro.

Mambo yalianza taratibu kama hivi.
 
Leo nimemsikiliza huyu mgombea wa yanga jinsi kampun itakavokuwa baad ya yanga kuingia mfumo wa kisasa,, kwa mfano pale simba Mo alijipangia bei nakumbuka alitoa mpaka muda simba waamue kama hawataki hizo pesa pesa bilion 20 anaweza kununua Bank.

Yule muhindi ni tapeli, hebu soma jinsi yanga watakavoipata thaman halisi ya Club yao na uwekezaji utakavo kuwa.

“Asilimia 49 zimegawanywa kwa watu wanne tofauti ambao watakuwa na uwiano wa asilimia 12 kutoka taasisi au watu tofauti tofauti ambao vyanzo vya mapato hawashabiani kimapato kutakuwa na kampuni maalumu itakayofanya kazi ya kujua thamani ya klabu na wataweka wazi hadharani na mwenye uwezo wa kununua hisa atapata nafasi hiyo bila upendeleo wowote” - Injinia Hersi kuhusu uwekezaji ndani ya Yanga

Sisi mbumbumbu rage hakukosea kutubatiza hili jina,, leo hii mo anaweza kuamua kisusa tu na uwekezaji wake hewa na tutakarudi matopeni
 
Mchezaji wa Simba SC Mohammed Hussein Tshabalala hakika anajua sana 'Kuwakoga' Wachezaji wa Yanga SC akina Mayele na Morisson.

Yaani Mwenzao yuko Mapumzikoni nchini Dubai ( UAE ) na Mkewe na Mtoto wao lakini Wenzake akina Fiston Mayele na Bernard Morrison wa Yanga SC tunapishana nao Kariakoo na Tandale Vibanda vya 'Mishikaki' tena Wakiigombea na hata Kuikota chini ile ambayo huwaponyoka Midomoni mwao?

Je, hii ni Haki?
Akili yako ndogo sana
 
Kupatwa kwa '' MKE'' hapo sio yeye anaongozwa tuu. Fainali tutakutana uzeeni...ohhh timu niliyoichezea imenitelekeza,, ohhhh.....mashabiki na watanzania nilicheza timu ya taifa hawanichangii.... kana kwamba wakati unafanya kazi ulikuwa hulipwi mishahara... uliitumiaje isije ikawa lawama kwa wengine. Ujumbe huu uwafikie na wale wasanii wanaokimbilia uturuki eti kufanya upasuaji wa uzee. Uzee hauna breki ukija ni sawa na kifu hakizuiliki
 
Msifurahie mchezaji wenu anapokwenda mapumziko Dubai, unamjua anayemfadhili na unajua uyo aliye mfadhili analipwa Nini?
Kipindi chanyuma kunamchezaji Anaitwa Tomas Karume aliwahi kuiaibisha klabu ya Simba kule gest Morogolo.
Mambo yalianza taratibu kama hivi.
Yule nasikia alikua abaliwa, Tena yule mzee King Kubaden kaharibu Sana vijana

Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
 
Msifurahie mchezaji wenu anapokwenda mapumziko Dubai, unamjua anayemfadhili na unajua uyo aliye mfadhili analipwa Nini?
Kipindi chanyuma kunamchezaji Anaitwa Tomas Karume aliwahi kuiaibisha klabu ya Simba kule gest Morogolo.
Mambo yalianza taratibu kama hivi.
Duh!makolo kazi wanayo
 
Kupatwa kwa '' MKE'' hapo sio yeye anaongozwa tuu. Fainali tutakutana uzeeni...ohhh timu niliyoichezea imenitelekeza,, ohhhh.....mashabiki na watanzania nilicheza timu ya taifa hawanichangii.... kana kwamba wakati unafanya kazi ulikuwa hulipwi mishahara... uliitumiaje isije ikawa lawama kwa wengine. Ujumbe huu uwafikie na wale wasanii wanaokimbilia uturuki eti kufanya upasuaji wa uzee. Uzee hauna breki ukija ni sawa na kifu hakizuiliki
Chief unafatilia mpira wa Tanzani (Ligi kuu)? Unajua mishahara wanayolipwa wachezaji Simba na Yanga? Unajua bonus wanazolipwa?

Ushapata bahati ya kuona maisha yao nje ya uwanja? Mpira wa sasa sio wazamani, mchezaji yoyote wa unaemsikia maarufu wa Simba, Yanga au Azam they are paid millions a month plus signing fees zao ni mamilioni. Btw budget ya 3000usd unaspend a week in Dubai.
 
Chief unafatilia mpira wa Tanzani (Ligi kuu)? Unajua mishahara wanayolipwa wachezaji Simba na Yanga? Unajua bonus wanazolipwa?..
Boss mwenye timu hiyo ambaye ndiye anayewalipa mishahara yupo kwenye orodha ya matajiri bora wa Afrika lakini huwa hafanyi upuuzi kama huo .Ana nidhamu ya hela na nawaza uwekezaji zaidi
 
Leo nimemsikiliza huyu mgombea wa yanga jinsi kampun itakavokuwa baad ya yanga kuingia mfumo wa kisasa,, kwa mfano pale simba Mo alijipangia bei nakumbuka alitoa mpaka muda simba waamue kama hawataki hizo pesa pesa bilion 20 anaweza kununua Bank...
Kwa hili pambio nadhan katika watu waliombeba hersi na wewe ulikuwepo

IMG_20220705_083819.jpg
 
Leo nimemsikiliza huyu mgombea wa yanga jinsi kampun itakavokuwa baad ya yanga kuingia mfumo wa kisasa,, kwa mfano pale simba Mo alijipangia bei nakumbuka alitoa mpaka muda simba waamue kama hawataki hizo pesa pesa bilion 20 anaweza kununua Bank.

Yule muhindi ni tapeli, hebu soma jinsi yanga watakavoipata thaman halisi ya Club yao na uwekezaji utakavo kuwa.

“Asilimia 49 zimegawanywa kwa watu wanne tofauti ambao watakuwa na uwiano wa asilimia 12 kutoka taasisi au watu tofauti tofauti ambao vyanzo vya mapato hawashabiani kimapato kutakuwa na kampuni maalumu itakayofanya kazi ya kujua thamani ya klabu na wataweka wazi hadharani na mwenye uwezo wa kununua hisa atapata nafasi hiyo bila upendeleo wowote” - Injinia Hersi kuhusu uwekezaji ndani ya Yanga

Sisi mbumbumbu rage hakukosea kutubatiza hili jina,, leo hii mo anaweza kuamua kisusa tu na uwekezaji wake hewa na tutakarudi matopeni
Vipi kama hao watu 4 tofauti wataamua kuuziana hisa zao na mwisho wa siku mmoja akawa na 49% yote?
 
Back
Top Bottom