Je, hii ni Fair Mohammed Hussein anakula zake 'Bata' Dubai akina Mayele na Morisson tunapishana nao Vibanda vya 'Mishikaki' Kariakoo Dar es Salaam

Kwa hili pambio nadhan katika watu waliombeba hersi na wewe ulikuwepo

View attachment 2282663
Leo nimemsikiliza huyu mgombea wa yanga jinsi kampun itakavokuwa baad ya yanga kuingia mfumo wa kisasa,, kwa mfano pale simba Mo alijipangia bei nakumbuka alitoa mpaka muda simba waamue kama hawataki hizo pesa pesa bilion 20 anaweza kununua Bank.

Yule muhindi ni tapeli, hebu soma jinsi yanga watakavoipata thaman halisi ya Club yao na uwekezaji utakavo kuwa.

“Asilimia 49 zimegawanywa kwa watu wanne tofauti ambao watakuwa na uwiano wa asilimia 12 kutoka taasisi au watu tofauti tofauti ambao vyanzo vya mapato hawashabiani kimapato kutakuwa na kampuni maalumu itakayofanya kazi ya kujua thamani ya klabu na wataweka wazi hadharani na mwenye uwezo wa kununua hisa atapata nafasi hiyo bila upendeleo wowote” - Injinia Hersi kuhusu uwekezaji ndani ya Yanga

Sisi mbumbumbu rage hakukosea kutubatiza hili jina,, leo hii mo anaweza kuamua kisusa tu na uwekezaji wake hewa na tutakarudi matopeni
 
Mchezaji wa Simba SC Mohammed Hussein Tshabalala hakika anajua sana 'Kuwakoga' Wachezaji wa Yanga SC akina Mayele na Morisson.

Yaani Mwenzao yuko Mapumzikoni nchini Dubai ( UAE ) na Mkewe na Mtoto wao lakini Wenzake akina Fiston Mayele na Bernard Morrison wa Yanga SC tunapishana nao Kariakoo na Tandale Vibanda vya 'Mishikaki' tena Wakiigombea na hata Kuikota chini ile ambayo huwaponyoka Midomoni mwao?

Je, hii ni Haki?
Siyo sawa kabisaaaa. Engineer yupo busy na uchaguzi. Sureboy kaonekana kwenye bot ya kwenda ZnZ kachakaaaa km Nyumba yake ya chamazi ilivyochakaaaa
 
Ata wewe kama unaridhia na hutakua na fujo, Dubai utapelekwa uka enjoy na familia Yako.
Wapo watu apa mjini wanashughulika na vijana wanaopenda safari kama izo na utagharamiwa Kila kitu.
 
Msifurahie mchezaji wenu anapokwenda mapumziko Dubai, unamjua anayemfadhili na unajua uyo aliye mfadhili analipwa Nini?
Kipindi chanyuma kunamchezaji Anaitwa Tomas Karume aliwahi kuiaibisha klabu ya Simba kule gest Morogolo.
Mambo yalianza taratibu kama hivi.

[emoji23][emoji23]
 
Hahahaaa
Watu mnatunza siri
 
Msifurahie mchezaji wenu anapokwenda mapumziko Dubai, unamjua anayemfadhili na unajua uyo aliye mfadhili analipwa Nini?

Kipindi chanyuma kunamchezaji Anaitwa Tomas Karume aliwahi kuiaibisha klabu ya Simba kule gest Morogoro.

Mambo yalianza taratibu kama hivi.
Kwabwili alisema ameacha wenzake tisa wa 'jinsia' yake huko Yanga.
FB_IMG_1586931024261.jpg
 
Leo nimemsikiliza huyu mgombea wa yanga jinsi kampun itakavokuwa baad ya yanga kuingia mfumo wa kisasa,, kwa mfano pale simba Mo alijipangia bei nakumbuka alitoa mpaka muda simba waamue kama hawataki hizo pesa pesa bilion 20 anaweza kununua Bank.

Yule muhindi ni tapeli, hebu soma jinsi yanga watakavoipata thaman halisi ya Club yao na uwekezaji utakavo kuwa.

“Asilimia 49 zimegawanywa kwa watu wanne tofauti ambao watakuwa na uwiano wa asilimia 12 kutoka taasisi au watu tofauti tofauti ambao vyanzo vya mapato hawashabiani kimapato kutakuwa na kampuni maalumu itakayofanya kazi ya kujua thamani ya klabu na wataweka wazi hadharani na mwenye uwezo wa kununua hisa atapata nafasi hiyo bila upendeleo wowote” - Injinia Hersi kuhusu uwekezaji ndani ya Yanga

Sisi mbumbumbu rage hakukosea kutubatiza hili jina,, leo hii mo anaweza kuamua kisusa tu na uwekezaji wake hewa na tutakarudi matopeni
Acha gongo kijana, hizo kampuni 4 anazo sema Hersi zote zitakuwa mali ya GSM, atakacho fanya anatoa mfuko wa nyuma kisha anapeleka mfuko wa mbele, ndio maana yule mzungu alimiita manyani
 
Mbona unaongea kitoto sana au kama ni mtu mzima basi ni kama mvuta bangi tu vile.
 
Yygxt
Boss mwenye timu hiyo ambaye ndiye anayewalipa mishahara yupo kwenye orodha ya matajiri bora wa Afrika lakini huwa hafanyi upuuzi kama huo .Ana nidhamu ya hela na nawaza uwekezaji zaidi
 
Back
Top Bottom