OC-CID JF-Expert Member Joined Jul 13, 2023 Posts 200 Reaction score 463 Oct 28, 2024 #1 Ipi tafsiri sahihi ya heshima na tafsiri ya uoga? Naombeni majibu
M Masyani Member Joined Nov 17, 2023 Posts 5 Reaction score 7 Oct 28, 2024 #2 Kwa mtazamo wangu ni heshima. Nilienda mkoa fulani hapa Tanzania, wamama hata watu wazima wanapiga magoti kusalimiana ko sioni kama ana uoga ni heshima.
Kwa mtazamo wangu ni heshima. Nilienda mkoa fulani hapa Tanzania, wamama hata watu wazima wanapiga magoti kusalimiana ko sioni kama ana uoga ni heshima.
Ayos JF-Expert Member Joined Sep 25, 2014 Posts 981 Reaction score 2,454 Oct 28, 2024 #3 Uoga ni akili, heshima ni tabia.
To yeye JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 35,686 Reaction score 86,968 Oct 28, 2024 #4 OC-CID said: Ipi tafsiri sahihi ya heshima na tafsiri ya uoga? Naombeni majibuView attachment 3137206 Click to expand... Basi ndo Mimi huyo, unaweza ona aibu kama hujazoea ila ndo nimekuzwa hivyo. Mama huwa anagusisha kabisa magoti chini... Unaweza shangaa ila inakuja automatically unashangaa umetegukaš
OC-CID said: Ipi tafsiri sahihi ya heshima na tafsiri ya uoga? Naombeni majibuView attachment 3137206 Click to expand... Basi ndo Mimi huyo, unaweza ona aibu kama hujazoea ila ndo nimekuzwa hivyo. Mama huwa anagusisha kabisa magoti chini... Unaweza shangaa ila inakuja automatically unashangaa umetegukaš