Bin Kawambwa
JF-Expert Member
- Oct 9, 2012
- 440
- 297
JF ndo tumefikia huku siku hizi!Wewe itakuwa una mission na hiyo nyumba. Kama sio ya wizi basi ni mapenzi.
Unapouliza kitu na ukatoa maoni yako inamsaidia anaekujibu kujua wewe unachowaza. Kwenye kutoa jibu atakusahihisha na kukwambia hilo jibu lako uliweke pahala gani ili siku nyingine usijekuchanganya mambo tena.Mimi nimeona jibu alilopewa, sina ubishi nalo na kwangu halina utata.
Utata nimeuona kwa muulizaji. Hilo ni somo, siyo kwake tu, bali na kwa wengine. Tunapouliza swali tusijifanye tunajuwa jibu. Ni ujinga.
Kuuliza si ujinga.
Wewe mbibi wewe. Baki tu huko Alberta ama Calgary"Hidden camera" halafu uione?
kama hukijuwi kitu uliza swali tu, usiongeze na jibu.
Laana ya kuuza bandari inakutafunaKafanye homework ule, ujambe, ulale. Kesho shule.
Punguza unoko we kibibi."Hidden camera" halafu uione?
kama hukijuwi kitu uliza swali tu, usiongeze na jibu.
Inasaidia kama umesafiri, umechelewa kurudi nyumbani na hapo kwako hakuna mtu mwingine wa kuwasha taa.Ni uvivu wa kuwasha taa au inasaidia nini?
Ndio ..Watu hawapo ndani nyumba haikaliwi ila taa zinajiwasha nankujizima asubuh majirani mnaishia kusema ile nyumba ina majini πππNdio inakuwaje kwamba inapokuwa usiku taa inawaka automatically au?